King'asti

Afadhali umekuwa mkweli kuwa sikuwahi kuwa wako. Manake Paw anajua ndo alinifungua kwenye makaratasi, usiniharibie cv baba. Ila Companero alikataza urafiki wa nyau na samaki, so we cant be frienda.

hapo ndo umeongea point ya maana kwingine kote ulikuwa unazingua
 
Afadhali umekuwa mkweli kuwa sikuwahi kuwa wako. Manake Paw anajua ndo alinifungua kwenye makaratasi, usiniharibie cv baba. Ila Companero alikataza urafiki wa nyau na samaki, so we cant be frienda.

lol, cat and goldfish!
 
Mbona soksi za khanga nzuri sana, zina hewa safi



Mmmmhh:confused2:, hata kule siasa hayupo?

kuna soksi za kushonesha eeh? Fundi mwenyewe Arushaone, hadi amalize.kukupimisha massage yabyakohama imeisha!

Kwenye sihasa napo manati, ama anasimamia kuhesabu kura za 'bama? Manake dili la uwakala abroad sipatii picha mkwanja wake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…