King'asti

Mtoa mada, kuna kitu anakitafuta
Bila shaka ni Ban kutoka kwa Mr. PAW
 
Unauweza mziki huo ndugu yangu??
Maana King'asti si wa mchezo ati!!!

Na kumpata inabidi ujipange haswaa, na utumie ma' akili saaana.
Nadhani we mwenyewe unaona jinsi upstairs kwake kulivyotulia yakhee!!

Kipipi ila hata kama siwezi mziki wake but nampenda sana
 
Jamani Excy, mbona hunielewi? Unataka Paw anipige ban ya jf, ukose kuona hata kivuli changu? Paw ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje, wa sasa na wa baadae.
Kongosho, haya yale ya lawama. Hebu nisaidie nimfanzeje huyu kijana?
King'asti jamani usinifanyie hivo,mi nakupenda
 
Last edited by a moderator:
hilo ndo point lenyewe ngoja nikaze msuli
 
Ndo nachokupendea jali basi upendo wangu kwako
 
Inabidi ukakate rufaa kwa maxence basi. Manake ningekupenda:mwaaah: nna hakika hizo soksi ningekuvua kwa meno na kuibusu miguu yako. paw hata awe mchafu vipi sisikii kinyaa
Aaaaah bhana,sijaafiki
 
Inabidi ukakate rufaa kwa maxence basi. Manake ningekupenda:mwaaah: nna hakika hizo soksi ningekuvua kwa meno na kuibusu miguu yako. paw hata awe mchafu vipi sisikii kinyaa

basi bhana nimepiga saluti
 
Wewe ndo kishadadizi nambari one, inakuhusu mzima mzima. Ili huyu kaka aniache alone inabidi nimsakie mchuchu.


Kwa hiyo miye ndo nimemfanya akugande?
Mnanisingizia tu wajameni . . . . hapo ningemkatisha tamaa ningeitwa kauzibe!

Haya bana nimekoma, sirudii tena!
 
Kajinyonge utupunguzie keleeleee mtu hakutaki unashikilia bango la nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…