donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
SALAAM wakuu, king'amuzi changu kinatattizo moja. kilikua kinawork fresh but juzi ghafla screen ikawa nyeusi lakini nasikia matangazo kabisa. nashindwa kuelewa tatizo ni nini, nimejaribu kucheza na setttings zote hamna kitu. mwnye kujua jinsi ya kutroubleshoot hili naomba anijuze. wabheja!