King'amuzi cha dstv shngapi saivi?

King'amuzi cha dstv shngapi saivi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,770
Reaction score
18,145
Nataka ninunue viwili kwa ajili ya vyumba vyangu vipya nilivyoongeza kwenye nyumba yangu ya hapa kigamboni ambayo Ina fensi na geti la rangi ya kijivu.

Hichi ndio king'amuzi cha kukaa kwenye vyumba vya mndewa kama Mimi sio kile cha mashehe cha wazee wa chaka to chaka quality ya picha kama ina vumbi bana.
 
Hio hela ya dstv kwanin usije nayo haoa velvet sinza tuchange tunuunue kreti mbili ili tukaribishe wikiendi
 
Nataka ninunue viwili kwa ajili ya vyumba vyangu vipya nilivyoongeza kwenye nyumba yangu ya hapa kigamboni ambayo Ina fensi na geti la rangi ya kijivu.

Hichi ndio king'amuzi cha kukaa kwenye vyumba vya mndewa kama Mimi sio kile cha mashehe cha wazee wa chaka to chaka quality ya picha kama ina vumbi bana.
Achana na DSTV mkuu, chukua ZUKU-life got better. Zuku ina AFCON, EPL, ÇAFCL na CAFCC, UEFACL ETC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom