Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wadau,
Mimi natumia kingamuzi cha star times tangu vimefika ila sasa ujio Wa vingamuzi Vingi unanifanya niwe na ham ya kujaribisha vlinguine.
mimi Sina hobby na Mpira ila napenda sana world news (bbc, citizen, voa, nk)
Ni channel gani zippo Kwenye kingamuzi cha continental? VoIP uangavu wa picha?
Mimi niko arusha
asanteni