muhogomtamu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 412
- 69
Moshi Kimenuka!,hata raia wa kawaida anajua kuwa mtoto wa mzee wa Kaya alikamatwa na madawa uchina,na yule mdosi alikuja kukamilisha mipango!
tunamkaribisha sana
Moshi Kimenuka!,hata raia wa kawaida anajua kuwa mtoto wa mzee wa Kaya alikamatwa na madawa uchina,na yule mdosi alikuja kukamilisha mipango!
Amekuja na totoz zake
Mbona pilot wake ni mzungu, hawaamini Waswazi wenzake?
jamaa ni pande la mtu, loh!
Tanzania kuna mitaro na visimahaoi mwanamke asiye bikra...
Tanzania sidhani kama wapo...
you want some?
ogopa mtu anayelindwa kiutamaduni...
aliyekuambia huyo ni mke wake ni nani?
Bahati mbaya ndege haina uchawi. Ona huyo jamaa hapo aliyevaaa kivazi kama yeye ni mchawi huyo
Huyo hapo
Hahaha...mkuu unataka kina Bilal na Membe wavae ile mishuka ya Kimaasai?
Lakini si unajua ile kitu huvaliwa pasipo chupi...sasa piga picha waheshimiwa wetu wasivae vinasa...
vinasa=chupi
Mkuu unauhakika na hili?