Hivi si nasikia wanawake kuacha matiti nje na kuvaa vinguo vifupi ni kukosa maadili mema mbele ya jamii na inachochea vitendo vya ubakaji na kujidhalilisha?
Vipi huko kwao si UKIMWI utakuwa umeenea sana na kesi kama hizo za ubakaji?
Haki za binadamu wakiwemo wanawake zinabaki palepale.
Singizia kitu chochote utakacho, iwe utamaduni, mila, dini n.k, Udhalilishaji utabaki kuwa udhalilishaji tu, bila kujali umefanyika kwa mwavuli wa nini kati ya vitu nilivyotaja.