Haki za binadamu wakiwemo wanawake zinabaki palepale.
Singizia kitu chochote utakacho, iwe utamaduni, mila, dini n.k, Udhalilishaji utabaki kuwa udhalilishaji tu, bila kujali umefanyika kwa mwavuli wa nini kati ya vitu nilivyotaja.
...................Hata hivyo, kutetea haki za binadamu mwenzio, wakiwemo wanawake sio lazima uwe TGNP, nakushauri mkuu unapoona udhalilishaji na ukiukwaji usikae kimya.
Haki za binadamu wakiwemo wanawake zinabaki palepale.
Singizia kitu chochote utakacho, iwe utamaduni, mila, dini n.k, Udhalilishaji utabaki kuwa udhalilishaji tu, bila kujali umefanyika kwa mwavuli wa nini kati ya vitu nilivyotaja.
Siyo yeye anayetaka ni mila ya kwao kuwa mfalme anaoa kila mwaka ambapo hizo totoz hupita mbele yake vifua wazi, matumbo wazi na mapaja wazi ili aweze kujichaguli kamoja. Mwaka huu kama sikosei atatimiza wake 13 au 14. Na hizo totoz sio kwamba zinalazimishwa ila zenyewe hujitokeza kama wanavyojitokeza wanaowania umiss TZ. Kwao huona fahari kubwa kuolewa na mfalme