Kinana: Watawala wawe na ujasiri wa kuomba radhi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,021
114,376
Kinana amekazia haya wakati wa kongamano la Kigoda cha Mwalimu. Amemtumia Mwalimu kuwataka watawala kuomba radhi pale wanapowakosea wananchi!!

Hivi karibuni watawala wamekuwa wakifanya mambo kwa kukurupuka mfano Uhaba wa Sukari, na kuita vijana wetu v.ilaza,lakini wamekuwa wabishi kukiri makosa.
 
Hapo tunaona kukinzana kwa chama na serikali! JPM na serikali anahitaji sana wazee wa busara la sivyo ataongoza kwa mabavu!! Suala la sukari haliungwi mkono hata na chama chake wana mawaziri wake! Ile kauli yake kusema heri akosee lakini amefanya maamuzi sio kwa level yake! Ana wasaidizi wengi na washauri kibao hatutaki makosa yaliyo wazi hadi vijana wa vijiweni wanayaona na yeye anakomaa kuwa hajakosea! Aibu! Aombe radhi tutamuelewa!
 
Tena tunaambiwa tuitii mamlaka kwa kuwa imewekwa na Mungu ikiwa mamlaka inakosea eti inafanya biashara ikulu Mungu huwa anafanyaje?
 
Hapo tunaona kukinzana kwa chama na serikali! JPM na serikali anahitaji sana wazee wa busara la sivyo ataongoza kwa mabavu!! Suala la sukari haliungwi mkono hata na chama chake wana mawaziri wake! Ile kauli yake kusema heri akosee lakini amefanya maamuzi sio kwa level yake! Ana wasaidizi wengi na washauri kibao hatutaki makosa yaliyo wazi hadi vijana wa vijiweni wanayaona na yeye anakomaa kuwa hajakosea! Aibu! Aombe radhi tutamuelewa!
Tatizo lililopo haoni hata kama anakosea! Lakini sasa inaonekana wenzie wanamshangaa ngoja tuone hii sinema ina series ngapi..
 
Back
Top Bottom