Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

Kinana anataka kumrudisha jamaa agombee 2020 kupitia CCM baada ya kuona kuwa walitulitea naniii?????????
 
Naiona tamati ya Kinana kama Katibu mkuu wa CCM. Mahusiano ya karibu kwa awaye yote kwa Lowasa inaonekana kama kitu kisichompendeza mwenyekiti.
Mwisho wa siku mwenyekiti anabaki mwenyewe apambane na hali yake!..hapo ndipo atapoelewa hii nchi si mali yake.
 
Kama,wana pigiana simu sawa lakini hiyo aimfanyi maMvi asiwe fisadi. Alisha thibitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwamba maMvi ni mwizi. kwahiyo kama wanapigiana simu na kinana aitufanyi sisi wananchi watanzania tusijue rangi halisi za maMvi. Mkitaka kumsafisha kwa haki mumpe nafasi ya kugombea ubunge ili aende kwenye Bunge lilelile lililo thibitisha kwamba yeye alikua kinara wa wizi katika mradi wa kufua umeme wa richmondi, akawaambie mlinionea, mniombe radhi.

Hakuna namna sisi Watanzania tutawaelewa bilayeye kwenda kujisafisha Bungeni, mengine mnayoleta itabaki kuwa porojo.
 
Mtimueni kinana hamuoni hapo anavujisha siri za chama.2020 watoto wa mjini wanageuza mambo
 
Namheshimu sana Kinana, he is not such a person. Sikumbuki kama aliwahi kutoa lugha za kashfa za aina hiyo hats kama aliwahi kutoa basi nitamtetea kuwa it was just a slip of tongue.
Besides watu hao ni marafiki sana. Kuwa vyama tofauti hakuwafanyi kuwa maadui. Mimi ni Mwana CCM pure, lskini Mara nyingi kama si zote nimekua nikipingana na wana CCM humu mitandaoni na kuikodos sana serikali. Lakini huko kwenye matawi wananielewa sana na huwa ni mshauri.
Kitu hicho kinanufanya niamini pasipo shaka kuwa kuna kikundi cha watu kinalipwa humu mitandaoni.
 
Hakuna binadam yeyote mwenye akili timamu anayeogopa kifo. Kwa Mkristo neno linasema "kuishi ni Kristo kufa faida. Kwa kila Mkristo aaminiye.

But hata asiyeamini anajua kama alizaliwa then hatoish milele.

Siyo aleluya ni HAlleluyah.au Haleluyah.


Kukuelewesha mafunzo ya Uislam ni udini?

Aleluya.
 
Katika watu ambao sijawahi kuwasikia wakimusema vibaya Lowassa iwe kipindi cha kampeni au wakati wowote ni Kinana na ana weza akawa ni mtu mwenye busara zinazoelekeana na Lowassa.
 
Hakuna binadam yeyote mwenye akili timamu anayeogopa kifo. Kwa Mkristo neno linasema "kuishi ni Kristo kufa faida. Kwa kila Mkristo aaminiye.

But hata asiyeamini anajua kama alizaliwa then hatoish milele.

Siyo aleluya ni HAlleluyah.au Haleluyah.


Mueleze huyo aliyefikiri watu wanaogopa kufa.

Tunakipenda kifo kama nyinyi mnavyopenda kuishi - Mullah Omar
 
asingekuwa Comrade Kinana CCM nakuiba kura kote kule sasa hivi nusu ya Bunge wangekuwa wapinzani sikufichi mfano hai ni Mwanza CCm hata alikuwa aje nani watu hawasogei tena gari la ccm likikatisha ni zomeazomea ila Kinana alipokuja alipata uungwaji mkono sana..!!
 
Well said sir. I wish all other politicians have the same philosophy.[ There is friendship, politics and the country]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwahiyo ww na bavicha wenzako hamtakufa kamwe kwakuwa hamkusema jamaa atakufa!....tumia ubongo kufikili ww sio unatumia matope ya ufipa street
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…