Kama,wana pigiana simu sawa lakini hiyo aimfanyi maMvi asiwe fisadi. Alisha thibitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwamba maMvi ni mwizi. kwahiyo kama wanapigiana simu na kinana aitufanyi sisi wananchi watanzania tusijue rangi halisi za maMvi. Mkitaka kumsafisha kwa haki mumpe nafasi ya kugombea ubunge ili aende kwenye Bunge lilelile lililo thibitisha kwamba yeye alikua kinara wa wizi katika mradi wa kufua umeme wa richmondi, akawaambie mlinionea, mniombe radhi.
Hakuna namna sisi Watanzania tutawaelewa bilayeye kwenda kujisafisha Bungeni, mengine mnayoleta itabaki kuwa porojo.