INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,266
since way back kunastory nyingi tu kama kuspend pamoja bills enzi hizo..!watenganishwa na maslahi binafsi katika kile wanacho aminiMboana Mbowe ni rafiki sana wa Kikwete hamlisemi hilo?
![]()
since way back kunastory nyingi tu kama kuspend pamoja bills enzi hizo..!watenganishwa na maslahi binafsi katika kile wanacho aminiMboana Mbowe ni rafiki sana wa Kikwete hamlisemi hilo?
![]()
Mwisho wa siku mwenyekiti anabaki mwenyewe apambane na hali yake!..hapo ndipo atapoelewa hii nchi si mali yake.Naiona tamati ya Kinana kama Katibu mkuu wa CCM. Mahusiano ya karibu kwa awaye yote kwa Lowasa inaonekana kama kitu kisichompendeza mwenyekiti.
Mtimueni kinana hamuoni hapo anavujisha siri za chama.2020 watoto wa mjini wanageuza mamboKama,wana pigiana simu sawa lakini hiyo aimfanyi maMvi asiwe fisadi. Alisha thibitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwamba maMvi ni mwizi. kwahiyo kama wanapigiana simu na kinana aitufanyi sisi wananchi watanzania tusijue rangi halisi za maMvi. Mkitaka kumsafisha kwa haki mumpe nafasi ya kugombea ubunge ili aende kwenye Bunge lilelile lililo thibitisha kwamba yeye alikua kinara wa wizi katika mradi wa kufua umeme wa richmondi, akawaambie mlinionea, mniombe radhi.
Hakuna namna sisi Watanzania tutawaelewa bilayeye kwenda kujisafisha Bungeni, mengine mnayoleta itabaki kuwa porojo.
Huu sasa udiniHakuna Muislam aogopae kufa, kumbuka hilo.
Ukimuona Muislam anaogopa kufa ujuwe huyo ana walakin.
Kuna mtu anaogopa haki yake? umauti ni haki ya kila binaadam.
Namheshimu sana Kinana, he is not such a person. Sikumbuki kama aliwahi kutoa lugha za kashfa za aina hiyo hats kama aliwahi kutoa basi nitamtetea kuwa it was just a slip of tongue.Ukiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
Kukuelewesha mafunzo ya Uislam ni udini?
Aleluya.
Hakuna binadam yeyote mwenye akili timamu anayeogopa kifo. Kwa Mkristo neno linasema "kuishi ni Kristo kufa faida. Kwa kila Mkristo aaminiye.
But hata asiyeamini anajua kama alizaliwa then hatoish milele.
Siyo aleluya ni HAlleluyah.au Haleluyah.
asingekuwa Comrade Kinana CCM nakuiba kura kote kule sasa hivi nusu ya Bunge wangekuwa wapinzani sikufichi mfano hai ni Mwanza CCm hata alikuwa aje nani watu hawasogei tena gari la ccm likikatisha ni zomeazomea ila Kinana alipokuja alipata uungwaji mkono sana..!!MaCCM mengi ni majitu ya hovyo sana, ila Kanali Kinana pamoja na "Tuhuma mbali mbali" anazohusishwa nazo mitandaoni bado mimi huwa namuheshimu kwa jinsi anavyofanya siasa zake.. Nadhani ni miongoni mwa watu walioivishwa na Hayati Baba wa taifa katika ulingo wa siasa.. Yuko tofauti sana na maCCM mengi ambayo yanafanya siasa za majitaka
Katika watu ambao sijawahi kuwasikia wakimusema vibaya Lowassa iwe kipindi cha kampeni au wakati wowote ni Kinana na ana weza akawa ni mtu mwenye busara zinazoelekeana na Lowassa.
Well said sir. I wish all other politicians have the same philosophy.[ There is friendship, politics and the country]![]()
''Ni rafiki yangu, lakini kuna urafiki na kuna nchi. Binafsi nadhani sisi bado ni marafiki. Tangu uchaguzi umekwisha tumeshakutana mara nyingi, tumeshapigiana simu mara kadhaa. Tunazungumza, sitaki kuamini kwamba ana nongwa, na hata kama ana nongwa nitamuelewa. Unajua, kama nilivyosema hapo mwanzo, kuna urafiki wangu na Lowassa na kuna nchi'' - Abdulrahmaan Kinana.
Ukiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa

kwahiyo ww na bavicha wenzako hamtakufa kamwe kwakuwa hamkusema jamaa atakufa!....tumia ubongo kufikili ww sio unatumia matope ya ufipa streetUkiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa