MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Usitake tuongee kila kitu hapa.Oh my God Hivi concept imeeleweka hapo. Kuna Urafiki na Kuna nchi?!?!?! Have you got Kinana's Concept lakini au kurukia tu kuchangia. Hebu rudi kasome juu uelewe maana yake. Mambo mengine si lazima kusema bayana hasa kwa mzee mwenye busara na mwenye diplomasia kama Kinana!
Kinana ni MNAFIKI no moja.
Kabla Lowassa hajajitoa CCM alikuwa pamoja nae na Lowassa alikuja kukiri kuwa Kinana alikuwa akimpa taarifa zote na mpaka BAADA ya Kamati ya Maadili na Kamati Kuu kukaa na kukata majina likiwemo jina lake aliendelea kumwambia yeye yupo salama.
Na ndio mana baada ya Lowassa kukatwa Kinana alimpigia simu sana Lowassa lakini hakupokea. Akaanza kumtumia Bashe ili aonane na Lowassa lakini Lowassa akachomoa, na hata JK alimtumia sana Bashe aonane na EL lakini aliwajibu kwamba aachwe apumzike.
Sasa huyo nae ndie unamwita mwanadiplomasia huyo Kinana?? Yuda Iskariote huyo.
Wee mwache aendelee kupenda bia ya Ndovu tu...!!
Forty yale inakaribia...
Kuna General Waitara pale sasa ivi.