maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Maneno ya busara hayo hata kama ni mitaani lakini wanajua kulinda urafiki waoLowasaa na Kinana hawajajuana mitaani.
Maneno ya busara hayo hata kama ni mitaani lakini wanajua kulinda urafiki waoLowasaa na Kinana hawajajuana mitaani.
Hivi huu usemi huwa ni kweli, kwamba ukitembea na Mwizi, na wewe utakuwa Mwizi?Hao ni marafiki wakubwa sana.
Mbona wewe hujafa?Kuna aliyemtukana Lowassa kama wewe?Anaogopa kufa nini na yeye?
Lowasaa na Kinana hawajajuana mitaani.
Lazima mjikombe kwa EL tu...
Kwa dhambi ambazo mlimfanyia... kashfa, chuki, fitina na matusi hamtasalimika kabisa.
Na kwasasa mnavyomwona Lowassa amezidi kuimarika ndio mnapagawa kabisa... kila mmoja anadai yeye ni rafiki yake...!!
The number is too long.. Let's wait and see who is next..!!
Kuna habari nyingi kwenye hilo gazetiSo what..waandishi wa bongo bhana sasa hii nayo ni habari...
Ukiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
Hivi Yohana alimtaja Mpemba au Msomali kipindi kile???Kinana ana matatizo yake sio hayo ya uswahili wa kumsemea vibaya mwenzake
Ukitaka kugombana naye wewe pita kwenye anga zake za Ndovu beer
Hata ile picha yake na Lowasa kwenye jubilee ya Mkapa ni jibu tosha
Teh teh alitajwa Mpemba ,Msomali sio mtu wa sport sportHivi Yohana alimtaja Mpemba au Msomali kipindi kile???
Kuna yule alikoswakoswa ajali ya gari kusini mwa Tanzania.Ukiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
CCM wapo kila kona![]()
Asema wameshapigiana simu Mara nyingi toka uchaguzi umalizike 2015
Asema wamekutana pia Mara nyingi kuongea mambo mbali mbali.
Akiri wataendelea kuwa marafiki wa kweli kwa muda mrefu ujao .
Li wapi jema enyi wanadam![]()
Asema wameshapigiana simu Mara nyingi toka uchaguzi umalizike 2015
Asema wamekutana pia Mara nyingi kuongea mambo mbali mbali.
Akiri wataendelea kuwa marafiki wa kweli kwa muda mrefu ujao .
MaCCM mengi ni majitu ya hovyo sana, ila Kanali Kinana pamoja na "Tuhuma mbali mbali" anazohusishwa nazo mitandaoni bado mimi huwa namuheshimu kwa jinsi anavyofanya siasa zake.. Nadhani ni miongoni mwa watu walioivishwa na Hayati Baba wa taifa katika ulingo wa siasa.. Yuko tofauti sana na maCCM mengi ambayo yanafanya siasa za majitakaUkiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
Sio Bongo tu.. siasa popote pale sio uadui na haipaswi kua uaduiWatu wajinga kweli?
Hivi mnaona kabisa kwamba kun uadui katika siasa za bongo? Pole yenuView attachment 434837
walikuwa wanausalama wa ccm tangu ujana wao mpaka uzee,wameshiriki harakati nyingi za kujenga ccm na kujijenga wao kisiasa..!!wametenganishwa na maslahi mapana katika uabudu wakile walicho kisimamiaLowasaa na Kinana hawajajuana mitaani.