Kinana aibiwa nyumbani kwake

Kinana aibiwa nyumbani kwake

Kwa taarifa yako, kijana aliyemuibia anaitwa peter daud, na anashikiliwa na polisi kituo cha mabatini leo ni siku ya sita hajafunguliwa kesi wala kupelekwa mahakani.yaani anabanwa pu.bu tu ili atoe pesa mambo yaishe kimya kimya.sasa uzushi uko wapi?

Inaonekana as if unajua kinachoendelea.

Kwa nini mtuhumiwa yuko ndani siku sita bila kupelekwa mahakamani?

Unaposema kuwa anabanwa pu*bu, una maana kweli wanam-torture sehemu nyeti?
 
UKWELI. Kijana aliyechukua pesa anaitwa PETER DAUD, na aliyeuza nyumba anaitwa SHIRIMA huyu aliyeiba yuko kituo cha polisi mabatini kijitonyama na leo ni siku ya 6 hajafunguliwa kesi wala kupelekwa mahakani kwa amri ya mkubwa. tembelea kituoni utaona kuna pkpk 2 mpya hazina namba na gari vitz ina namba. Hatubahatishi kama unavyofikiri.na mhuni ni wewe unayetetea usichokijua kwa ajili tu ya tumbo lako.masburi mkubwa wewe
 
huyo shirima anakaa wapi na tutajie namba ya hiyo nyumba aliyouza. halafu tutajie na jina la mnunuzi kama wewe wasema kweli. otherwise jiandae kukatwa midomo na vidole siku ya hukumu kwa mikasi ya moto kwa kusema na kuandika uongo

Kwann unataka kutajiwa jina la muuzaji na namba ya nyumba?au ndo unataka kwenda kuchukua huo mshiko wa Shirima?majangili sio watu wa kuaminika.
na hiyo mikasi ya moto umeiona wapi?
 
halafu kuna kitu nimebaini katika thread hii. siiamini mpaka mleta uzi atakapoleta ufafanuzi wa haya yafuatayo
  1. huyu kinana ni yupi, maana akina kinana ni wengi
  2. wachangiaji wengi wametoa michango yao kwa kumlenga abdulrahmani kinana, katibu mkuu wa ccm, je mleta uzi, kuna connection yoyote kati ya kinana aliyeibiwa na huyu tumjuaye, katibu mkuu wa ccm?
kama hatutapata ufafanuzi juu ya mambo hayo mawili basi hakuna haja ya uzi huu kuendelea kuwepo maana malengo yake ni kupotosha.

pia kwa jinsi wengi wanavyochangia uzi huu inajidhihirisha ni jinsi gani uwezo wao wa kufikiri ulivyo mdogo. si ma great thinkers tena bali ni vilaza wa kutupa. mtu anayechangia kwa kufikiri huwezi kukurupuka tu ukaanza kuchangia kitu ambacho hukijui

kwani we unawashwa nini sisi kuchangia au kinana ni babako?
kwani ni siri kwamba Kinana ni jangili wa pembe za ndovu???
 
Kaniudhi nae huyo kijana.....angetambaa tu nazo mbali.Yeye anatanua hapa na fedha ya mtu mwenye mtandao mchafu.
 
Kwann unataka kutajiwa jina la muuzaji na namba ya nyumba?au ndo unataka kwenda kuchukua huo mshiko wa Shirima?majangili sio watu wa kuaminika.
na hiyo mikasi ya moto umeiona wapi?

jaribu kufa ndo utakapoiona mikasi ya moto. imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu vya Mungu
 
kwani we unawashwa nini sisi kuchangia au kinana ni babako?
kwani ni siri kwamba Kinana ni jangili wa pembe za ndovu???

jibu maswali hayo. vinginevyo tukuunganishe na tundu lissu kule milembe au mbagala chamazi
 
huu ni uzandiki mkubwa sana. hizi ni hujuma zinazofanywa kwa makusudi na wana chadema. sasa naanza kukubaliana na zile makala za kibanda juu ya tishio la kinana kwa uhai wa chadema. najua haya yanafanyika kwa makusudi ili kuchafua taswira yake katika jamii. lakini hawataweza

Mkuu kuwa na uzalendo japo kidogo kwa nchi yako, CCM inaweza kufa lakini nchi ¬ Tanzania itabaki, hebu niambie uko tayari kuipoteza Tanzania au Kinana? Dunia nzima ilijua kuwa Kinana Jangiri na msafirishaji mkubwa wa silaha za kivita nchi za maziwa makuu.Kweli huyu mtu wa kumtete kweli
 
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?

Ongeza mambo yanayoeleweka basi Mkuu, ina maana ni uongo we haujaibiwa hizo pesa?
Basi kweli watu wamezidi uzushi!
 
Yah ni namna ya kugawana utajiri wa inchi yetu mtu ana ALmost 100mil ndani ya nyumba?!!!!!!!!!!!????????WHY?
 
Inaonekana as if unajua kinachoendelea.

Kwa nini mtuhumiwa yuko ndani siku sita bila kupelekwa mahakamani?

Unaposema kuwa anabanwa pu*bu, una maana kweli wanam-torture sehemu nyeti?

Hahaha, watu wana machungu na vijisenti vyao kaka! Cheza na mnazi weye, huyo dogo salama yake ilikuwa kuondoka fasta bongo, bora angeenda kulima Rwanda au Malawi!
 
Dah kumbe hawa majangili wakiibiwaga vijisenti vyao wanakuaga wachungu eeenh.........
 
Dogo kachukua mrahaba. Kaaazi kwelikweli kama ni kweli.
 
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?

Mkuu bado unanishangaza na maswali mengi ya kujiuliza.
 
Back
Top Bottom