Kinamama hoyee! Ewe mama, unataka kuwa Askofu? Ruksa!

Ni kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”

Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:

Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.

Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.

Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.

Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:

Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.

Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."

Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.

Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
Utetezi wako umejikita kwenye mawazo binafsi wala si maandiko. Mi huwa nafatilia posts zako nikajua we ni mtu makini kumbe now najithibitishia kwamba sikuwa sahihi vile nilikuwa nakuchukulia.

Mara nyingi nakuona unaweka maandiko nashangaa hapa unatetea hoja kibubusa bila andiko. Hata andiko lako la kuanzisha mada haliungi mkono hoja yako.

Lete andiko ambalo mtu akisoma hahoji kitu kama ambalo nimekupa mimi, acha kuungaunga hoja.

Hakuna sehemu kwenye Biblia inamtaka mwanamke kuwa askofu, kama andiko lipo weka hapa tulione.
 
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."

Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...

Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
No Reforms, No Election.
 
Endelea ni mistari inayofuata inataja sifa anazotakiwa kuwa nazo huyu mtu anayetamani kazi njema. Sifa mojawapo ni kuwa "Mume wa mke mmoja." Utaamua mwenyewe kama utakuwa mume au la
 
Utetezi wako umejikita kwenye mawazo binafsi wala si maandiko. Mi huwa nafatilia posts zako nikajua we ni mtu makini kumbe now najithibitishia kwamba sikuwa sahihi vile nilikuwa nakuchukulia.

Mara nyingi nakuona unaweka maandiko nashangaa hapa unatetea hoja kibubusa bila andiko. Hata andiko lako la kuanzisha mada haliungi mkono hoja yako.

Lete andiko ambalo mtu akisoma hahoji kitu kama ambalo nimekupa mimi, acha kuungaunga hoja.

Hakuna sehemu kwenye Biblia inamtaka mwanamke kuwa askofu, kama andiko lipo weka hapa tulione.
Haipo
 
Kama haipo basi askofu lazima awe kidume. Ukishuka kwenye zile Aya ameleta huyu mleta mada utaona hata shemasi lazima awe mwanamume mwenye mke mmoja.
1Timetheo 2-11-14 kuna maneno yanahusu hilo la mwanamke kutofundisha mbele za wanaume nashindwa kuweka hapa.

Ila kuna mazingira ya pekee ambayo mwanamke anaweza simama na kufundisha mbele ya mwanaume.
 
Ni kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”

Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:

Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.

Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.

Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.

Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:

Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.

Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."

Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.

Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
Are you serious?

Sounds like joking😇

Kwahiyo Yesu pia na yeye alikuwa kilaza kama Paul alipoteua mitume 12 wanaume. Hata replacement ya Yuda pia akawa mwanaume?

Vipi kuhusu kabila 12 za watoto wa Yakobo (Israel). Je, Yakobo hakuwa na watoto wa kike. Of course alikuwa nao, mmojawapo ni yule alibakwa na kisha watoto wa Yakobo wakaua wanaume wote kwa huo mji. Hao watoto wa kike mbona hawapo kwa makabila ya Israel?

Umesema tusiweke mapokeo. Sasa mbona wewe unalazimisha mapokeo? Kwani mapokeo ni nini?
 
Usibadili mada, please
Umesema twende kwa vifungu. Soma 1.Tim 2: 11-14

Zingatia 1.Tim 2:12

11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
1.Timotheo 2:11

12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
1.Timotheo 2:12

13 Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.
1.Timotheo 2:13

14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
1.Timotheo 2:14
 
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."

Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...

Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.

( Kabla ya bibilia wakristo wa mwanzo walikuwa wanatumia nini)?
 
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."

Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...

Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Ungeanza Wewe kama mfano ndipo hao wenzio wapate hamasa.
 
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."

Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...

Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Waambie na wakatoliki mwanamke kuwa Papa ni ruksa👿
 
Mimi nina majukumu mengine mazito. Ila mifano iko mingi ya maaskofu wanawake
Mifano itoke kwenye Biblia sio uje hapa useme mbona mwanamke fulani ni askofu! Sisi tunataka aya za Biblia zinazoruhusu mwanamke kuwa askofu, kama hazipo itakubidi uelewe kwamba kama yupo askofu wa kike, yupo tofauti na maagizo ya Biblia....
Askofu lazima awe mwanamume.
 
Umesema twende kwa vifungu. Soma 1.Tim 2: 11-14

Zingatia 1.Tim 2:12

11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
1.Timotheo 2:11

12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
1.Timotheo 2:12

13 Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.
1.Timotheo 2:13

14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
1.Timotheo 2:14
Asante kwa kusaidia kuweka hapa mzee.
 
Back
Top Bottom