We unazungumzia maaskofu wa kike tu!Mimi nina majukumu mengine mazito. Ila mifano iko mingi ya maaskofu wanawake
Siku hizi tuna wafalme wa kike pia akina zumaridi
We unazungumzia maaskofu wa kike tu!Mimi nina majukumu mengine mazito. Ila mifano iko mingi ya maaskofu wanawake
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
Hayo maswali ungewauliza watoto wa Sunday School.Ndugu yangu wewe upo sana kutoka kwenye uelewa juu ya ukristo.
Jibu maswali haya machache, kisha nikupeleke darasani taratibu:
1. Masiha Yesu, kabla ya kuondoka Duniani, aliacha kitabu chochote kama mwongozo wa ukristo?
2. Biblia iliandikwa na nani, na aliandikwaje?
3. Nani na lini biblia ilipangwa kwa muundo wa leo au unaokaribiana na huu wa leo?
4. Nini lilikuwa lengo la kuandikwa biblia, na lililengwa kundi gani?
Acha upotoshajiNi kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”
Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:
Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.
Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.
Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.
Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:
Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.
Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."
Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.
Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
Kama ni hivyo basi nami nampendekeza Mh. Dorothy Gwajima.Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu hicho: mwanamke sio mtu? Kifungu hicho kinasema mtu akitaka kazi ya Askofu...
Please, hoja zote ziambatane na vifungu vya Biblia, sio mapokeo. Biblia ndio taa yetu.
ww n mpinga kristo OVANi kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”
Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:
Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.
Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.
Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.
Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:
Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.
Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."
Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.
Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
Huna hojaHoja hupingwa kwa hoja. Weka hapa hoja zako zisizopotosha
Usipotoshe maandiko,Weka vifungu vya ku-support hoja zako. Neno ndio taa yetu
Duh, wewe kweli ni Clever505Utetezi wako umejikita kwenye mawazo binafsi wala si maandiko. Mi huwa nafatilia posts zako nikajua we ni mtu makini kumbe now najithibitishia kwamba sikuwa sahihi vile nilikuwa nakuchukulia.
Unapotafsiri maandiko unatakiwa kuangalia muktadha, na kujiuliza: nani anaambiwa na kwanini. Ingekuwa mwanamke haruhusiwi kufundisha, Paulo angemkataza pia Prisila(mwanamke) kufundisha. Lakini haikuwa hivyo, Paulo aliwaacha Prisila na Akila Efeso wafanye huduma. Katika Matendo 18 tunasoma kuwa Prisila na Akila walimfundisha Apolo kwa usahihi.(2 Timothy 2:12)
Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, Bali awe Katika utulivu.
Umeamua kurekebisha nenoNi kweli katika 1 Timotheo 3:2-7 imeandikwa kwamba Askofu awe “mume wa mke mmoja”
Kwenye andiko hilo, kuna mambo mawili muhimu ya kuelewa:
Kwanza, mtazamo wa wakati ule (Context ya kitamaduni)
Katika utamaduni wa Wayahudi na Warumi karne ya kwanza, wanaume ndio waliokuwa wakiongoza nyumba zao na jamii. Hivyo, Paulo aliandika kwa muktadha wa wakati ule — ndivyo jinsi jamii ile ilivyotarajia.
Paulo hakusema kwamba hiyo ni sheria ya milele isiyobadilika. Hakuandika kuwa "wanawake hawaruhusiwi kuwa maaskofu." Alikuwa anatoa mwongozo tu wa jinsi mtu aliyetaka uaskofu katika mazingira yale alivyopaswa kuwa.
Leo hii katika jamii nyingi, wanawake wanakubaliwa kushika nyazifa za juu za uongozi. Hivyo Paulo angekuwa anazungumza na jamii za leo, zinazomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu, angeweza pia kusema askofu awe mke wa mume mmoja.
Kama hujaridhika na hoja hiyo, hebu tuangalie hoja ya pili:
Katika lugha ya Kigiriki(lugha ya mwanzo iliyotumika kuandika Agano Jipya), "mume wa mke mmoja" ni tafsiri ya maneno "aner mias gynaikos" — maana yake ni mtu asiye mzinzi, mtu mwaminifu katika ndoa yake.
Kwa tafsiri hiyo ni wazi hata mwanamke anaweza kuwa askofu mradi tu awe na mume mmoja na pia azingatie sifa zote zilizoainishwa katika andiko hilo:
"asiye na lawama, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha; asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha; anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote...Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi."
Sifa zote hizo, mwanamke anaweza kuwa nazo.
Bado tu unapinga kuwa mwanamke hawezi kuwa Askofu? Leta hoja mpya
Tatizo tulilonalo wakristo ni kwamba mtu anapoamua kutetea jambo atajitahidi sana kuungaunga maneno ya Biblia yaendane na anachokitaka. Mada yako Haina Aya maalumu kabisa ya kuitetea ndo naona hapa unajitahidi kuunga maandiko.Duh, wewe kweli ni Clever505
Kumbe unapenda kila point iwe na maandiko? Safi sana. Ila ujue kuna wengine hawapendi kuona vifungu vifungu kila wakati. Ndio sababu wakati mwingine naweka maelezo tu.
Haya, twende pamoja sasa kwa Maandiko
Katika Waefeso 4:11-13 tunasoma kwamba
Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe;
Katika orodha hiyo umeona wadhifa wa Askofu? Hakuna! Katika Andiko lile la mwanzo kabisa, Askofu maana yake mwangalizi(Overseer). Kwa mantiki hiyo, Mtume ni huduma ya juu kuliko ya Askofu. Askofu ni kazi kama ya Administrator. Ndiyo sababu Paulo anaiita kazi njema.
Sasa kama unakubaliana na mimi kwamba Mtume yuko juu ya Askofu, angalia hapa jinsi Paulo anavyosema katika Warumi 16:7 (SRUV)
Nisalimieni Androniko na Yunia, jamaa zangu, waliofungwa pamoja nami, ambao ni maarufu miongoni mwa mitume; nao walikuwa katika Kristo kabla yangu.
Katika maandiko ya awali kabisa ya Kigiriki, Yunia ni "Ἰουνίαν" (Iounian). Hili ni jina la kike maarufu kabisa Roma. Sasa Paulo anamtaja Yunia kuwa maarufu miongoni mwa mitume. This means, Yunia alikuwa Mtume mwanamke. Kwa mantiki hiyo kama Yunia alikuwa na cheo au huduma hiyo ya juu ya Utume, unashangaa nini nikikuambia kwamba mwanamke anaweza kuwa Askofu, just an Overseer?
Tatizo lililopo ni kwamba katika baadhi ya makanisa, vyeo vya huduma havifuati Biblia. Baadhi ya makanisa wamejitungia vyeo na majina yao wenyewe kama vile Kardinali, Padre, Askofu Mkuu nk. Waliojitungia vyeo ndio hao wanaoona Papa ni mkuu kuliko Askofu. Na wengine wanaona Askofu ni mkuu kuliko Mtume! Na wengine wanaofuata Maandiko wanaona Mtume ni mkuu kuliko Askofu.
Umenipata Clever505 ??