Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaha kumbe kuna kuread between the lines eeh. Ngoja nijitahidi kuconnect dotsAloandika mada na wanaomsapoti angalia miandiko yao you'll notise something amaizing.
Wafanye kazi kwa bidii watapendwa tu sio wakishapokonywa tonge mdomoni ndio wanatapatapa!!
Teh teh shem upo? Naona leo mtoa mada anajaribu kutikisa kiberiti....
Na kuwakataa tutazidi kuwakataa hueleweki nikukubali wa nini,wakafie mbele na mizigo yao ya nuksiKukataliwa ni stress tooosha! Unaweza ukafanya jambo ambalo hata wewe mwenyewe ukikaa unashangaa whts happened!!
Pole sana mleta mada naona uko na wenzio wengi tu, usijali with time you ll heal!!
Ni sahihi dada,mtoa mada anashindwa kuelewa kuwa Mungu humuokoa mtu kwa namna yake,haijalishi ni wakati gani,Iko busara huwa ninaipenda sana,inasema-''Mtakatifu anaanguka mara 99 na kusimama mara 100''.Kumbe huruma ya Mungu huwa haina kipimo.Sisemi kama watu tutende dhambi makusudi kwa sababu tu Mungu anasamehe. Lakini je mtu akikosea na akafika uzeeni akaamua kutubu, Mungu hatomsamehe kwa sababu ni mzee tayari? Afu huo uzee mnaouongelea nyie ndo huo wa miaka 30+ au?
Haya what If nikajitunza ujanani afu uzeeni nikaharibu, ntasamehewa tu kwa sababu niliutumia ujana vizuri, au nikikosea uzeeni basi siruhusiwi kuomba msamaha nife tu na dhambi zangu? Cha msingi ni kuishi sawa na mapenzi ya Mungu, na binadamu tuna udhaifu so kuna muda tunaanguka but cha muhimu zaidi ni kunyanyuka baada ya kuanguka. Nikukumbushe tu " tunaishi kwa neema tu".
Na kuwakataa tutazidi kuwakataa hueleweki nikukubali wa nini,wakafie mbele na mizigo yao ya nuksi
Nikifika hizo 30+ na sijaolewa wala sito sononeka ni maisha nilichagua kuliko kuwa na mtu bora siku zipite,maisha yenyewe mafupi haya agaaa...
Teh TehKomaaaa tena koma we no Mungu kwani? Tuache tumsumbue kwani wapi kasema hataki usumbufu ? Hata we unamsumbua vile vile na vitatizo vyako uchwara ... Umeniudhi watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao
Yes, nimeona! Bibi shemeji....!Poleni sana bwana shemeji, ni maisha tu, sio lazima kila unaemtaka akukubali au kumuoa, wengine wanapita kwenu tu kama shule ili wakawe wake bora wa wenzenu.
Teh Teh aisee we binti wewe....Wenye stress wake zenu wameokota fuko la mavi kwenye maandamano! HAHAHAHAAAAAAAA,! Shurti wajipake hayo mavi na yatawanukia ndani for the rest of their lives mchezooooo sasa! Hahahaaaaaaaaa! Chezeaaaa! Kutangulia sio kufika. Ngoja niwapunguzie dozi msije kuji murderrr bureeee! Mwaka ndo kwanza unaanza.
Ahsante sana mpendwa wanguNi sahihi dada,mtoa mada anashindwa kuelewa kuwa Mungu humuokoa mtu kwa namna yake,haijalishi ni wakati gani,Iko busara huwa ninaipenda sana,inasema-''Mtakatifu anaanguka mara 99 na kusimama mara 100''.Kumbe huruma ya Mungu huwa haina kipimo.
mada haizungumzii kupokonywa tonge mdomoni, bali wale wanaojifanya walokole baada ya maji kuwa shingoni, au mimi ndo sijaelewa
Sisemi kama watu tutende dhambi makusudi kwa sababu tu Mungu anasamehe. Lakini je mtu akikosea na akafika uzeeni akaamua kutubu, Mungu hatomsamehe kwa sababu ni mzee tayari? Afu huo uzee mnaouongelea nyie ndo huo wa miaka 30+ au?
Haya what If nikajitunza ujanani afu uzeeni nikaharibu, ntasamehewa tu kwa sababu niliutumia ujana vizuri, au nikikosea uzeeni basi siruhusiwi kuomba msamaha nife tu na dhambi zangu? Cha msingi ni kuishi sawa na mapenzi ya Mungu, na binadamu tuna udhaifu so kuna muda tunaanguka but cha muhimu zaidi ni kunyanyuka baada ya kuanguka. Nikukumbushe tu " tunaishi kwa neema tu".
Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. Hakuja kwa wasafi, wala hana hata shida naoUtaelewa wapi na umeujaza upofu macho na akili yako maana ushajiandaa na kichambo!! Mkishapokonywa au kukataliwa ndio stress zinazidi sasa mnatafuta pa kutokea.
Acheni wamuombe Mungu kwani lini Mungu alisema hataki kuombwa? Bahati nzuri maombi ya mwenye dhambi ndio Mungu anadeal nayo vizuri, nyie mnaojifanya miungu watu kaeni hivyo hivyo na mtazidi kukataliwa tu.
Kwa hiyo wanaolalamika hapa wapo stressed? Wamekimbiwa....!
Hebu nyoosha maneno...
Aisee ........@brenda18...Na kuwakataa tutazidi kuwakataa hueleweki nikukubali wa nini,wakafie mbele na mizigo yao ya nuksi
Nikifika hizo 30+ na sijaolewa wala sito sononeka ni maisha nilichagua kuliko kuwa na mtu bora siku zipite,maisha yenyewe mafupi haya agaaa...
Hahahaa hata nije kuishiwa wanaume mimi type za mleta mada siziwezi,huyu atakuwa hata akiongea ni ovyo tu....nimechangia sababu tu alichoandika kajikuta ye ni mdogo wa mungu eti anamuonea huruma mungu sio Mungu,Hahahaa watu jamaniii kitu gani nikaolewe na khadija kopa,watu wapo na class zao wametulia na ndio wamedata na sie vibibi....Hivi ukiwa 30+ ndio ukubali rinya ronya au reject kama wanavyoitaga wenyewe? Sasa mvulana mwenye gubu hivi ukiolewa nae si utakuwa unaishi na mke mwenzio ndani!!
Kwa hiyo tukizalishwa ni kwamba tumemsahahu Mungu au tumeanguka dhambini kaa unavyoanguka kwenye dhambi za uongo na mambo mengine acha kuwa bias ..
Kuolewa mapema sio guarantee ya kuzaa mapema. Kuna watu waliolewa wakiwa na 20s na hadi wanazeeka hawana watoto. Kila mtu ataolewa kwa wakati sahihi ambao Mungu amempangia. Na huko kote kwenye milima na mabonde anakopita, Mungu ana kusudi maalumu na hiyo njia yake.Sina tatizo na mawazo yako na hakuna sehemu niliyo ongelea mambo ya msamaha ,hilo analijua Mungu ,shida yangu ilikua kwa Lara 1 kuniletea habari zake za Naseeb ni muislamu safi sijui anafuata sharia za mtume ndio nikamletea huo mfano wa bikira 70,
Sasa kwa miaka yetu tunayoishi Tumeambiwa miaka ya ahadi ni 70 tukiwa wenye nguvu basi 80 ....najibu swali lako la 30+ kama ni uzee kwa mtazamo wangu tu ndio ni uzee ,40 tu upo menopause na hivi vijana wa kiume siku hizi watoto wa miaka 22 wanalia lia nguvu za kiume unategemea atampa vipi mimba bi dada wa 40 ?? Au unataka kuleta mfano wa baba wa imani Ibrahim na Raheli ????