Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Mswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.
KAMA

KAMA MUNGU ANASAMEHE WHO ARE YOU TO JUDGE? Unajivika umungu kijanja eeeeh? Ingekuwa hivo dini ingekataza mwanamke asie bikra asiolewe. Ila imetoga GO AHEAD! Hapa mpreaaa mperaaa tu. Warereeeeeeeeeeee!
Aliyekuja na hoja za kwamba Nasib sijui ni muislam safi na anafuata sharia za mtume sijui ni nani ?,vipi hili la wanawake bikira 70 sio mojawapo ya hizo sharia ?? Unalamba matapishi yako au ??Wewe Sijui Kungwi acha kuwaharibia wanawake wenzako kama wewe umeshapita hiyo stage tulia waache watoto wa watu wajitunze ,
 
Hahahaha..umekuwa mkali kama umeshikwa t*ko..
 
Waungwana ngoja nikaombe Mungu kanisani mieee, jumapili ya kwanza ya mwaka hii, anistri na mkosi wa kupata vibwana visivyoeleweka kam mtoa mada wa leo. Shindwaaaaaaa kabisaaa na ulegeeeee. Nitarudi saa 1 kuendeleza ligi.
Ha haa nenda kamsumbue Mungu, hakika atakujibu maombi yako upate haja ya moyo wako. Ila pia akubariki na ujazwe roho mtakatifu ili uache kutuchamba hapaaaaa......
Khaaa
 
Waungwana ngoja nikaombe Mungu kanisani mieee, jumapili ya kwanza ya mwaka hii, anistri na mkosi wa kupata vibwana visivyoeleweka kam mtoa mada wa leo. Shindwaaaaaaa kabisaaa na ulegeeeee. Nitarudi saa 1 kuendeleza ligi.

Ha ha ha ha haaaaaaa huyu ndiyo Iara, jeshi la mtu mmoja hili, hajawahi kumung'unya maneno..
Wahi mwaya kanisani ukapate Baraka za mwanzo wa mwaka.
 
Msichoke kumsumbuaa akujibu....!
Achoke vipi kwani yeye ni mtoa mada aseme kachoka .. Sikio lake alichoki kila Siku tunamlilia matatizo kibao dunian hapa si angekuwa kajichokea mda sana ila ni msikilizaji na anajua sisi n wanadamu na tens wadhaifu so atuache mtoa mada na Mungu wetu .. Tena akome kumsemea Mungu hana adabu.
 
yaani hii ni sawa na ufanye dhambi ukijua utatubu, yaani ufanye machaguo wee umri ukikutupa mara kanisani mara kwa mganga
 
Deleted
 
Nilikua naangalia series.....ngoja nipause kidogo nisome comments za humu kidogo....
 
"We are very good lawyers for our own mistakes, but very good judges for the mistakes of others.

Ni bora anayegundua makosa yake na kubadilisha njia zake, kuliko anayestick na njia zake mbaya hadi siku ya mwisho
 
The good thing ni kuwa mawazo ya Mungu sio kama ya wanadamu, hivyo endelea kujifurahisha hapa jamvini na kujivisha kofia ya kumuonea Mungu huruma
Msemaji wa Mungu ngoja tumwache apunguze stress zake
Ni nanii atasimama kumnyooshea kidole mwingine ilihali yeye pia ni mdhambi
Labda mleta mada ni mtakatifu
Maisha sio kuolewa tu,kuna mapito na changamoto nyingi hata kwa yeye anaejiona mkamilifu kuna mahali tu anakwama....
 
yaani hii ni sawa na ufanye dhambi ukijua utatubu, yaani ufanye machaguo wee umri ukikutupa mara kanisani mara kwa mganga
Bora wanaokimbilia kwa Mungu kuliko huyo bwana mkubwa kwenye red
 
Yes.....
Hamna kuchoka kupiga magoti mbele ya Mungu.
 
Kukataliwa ni stress tooosha! Unaweza ukafanya jambo ambalo hata wewe mwenyewe ukikaa unashangaa whts happened!!
Pole sana mleta mada naona uko na wenzio wengi tu, usijali with time you ll heal!!
 
sawa kaBisa,, coz hata MUNGU kupitia Mandiko Matakatifu anaseMa "MUKUMBUKE MUUMBU WAKO SIKU ZA UJANA WAKO" sasa hao wanao kula uJana MkitegeMea kuMrudia MUNGU Baadae iMekula kwenu,,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…