Unaweza kutumia maandiko kuProve whatever you want. I could also kitabu cha methali kuwasema wanaume aina yako, wasiojua kuishi na watu, kujiona wanajua kila kitu na wako juu ya watu.Pole sana, lakini hayo sio maneno yangu bali ya vitabu vitakatifu labda useme huvifuati tena.
Sijui ni dunia gani unaishi, lakini hao unaopenda kuengage nao wengi wana tabia kama za wanaume wa kiafrika, ni sharia zao kali tu zinawabana.
Hata hivyo, unaweza kutumia msuli mkubwa hadi uipate ndoa na westerners.
Uzao wa Abel upo bwana. Kuna ndugu yetu alikuwa na bf wake kijijini, kutinga udsm tu na jamaa yukobengineering mdada yuko ungwini; dada akaopoa jamaa la mtaani. Akazalishwa huko na dozi ya ngumi kila siku, stress hadi akaahirisha mwaka akarudi kijijini kujipanga upya. Next year akarudi shule mtoto akamuachia mama yake. Namna alivyorudisha majeshi, kamaliza chuo tu yule bf wa kwanza wa kijijini akatangaza ndoa. Wakaoana, akabeba na yule ishmael wake and they lived happily ever after. Mawifi na mama mkwe wamenuna, wamesusa, wamezira! Ikawa asubuhi, ikawa jioni mwaka wa 25! Tena naskia Christmas hii dada kazawadiwa prado newest model nyeusi, bado sijaishuhudia. Niko mpoleee na medali yangu ya kujitunza kwa paw.
Kama wewe una uchoyo wa kutunza scrapper kuna wataalam wa scrapper. Inang'arishwa ukiiona huikumbuki.
There u go.I don't believe in equality myself. Just fairness.
Jamii ya kibongo sio fair kabisa. Angalia couples huko overseas, unaona kabisa ni "couple". Lakini ya hapa ni mtu na baba yake.
I'll never be with a man who underestimates my intelligence. Nataka mwanaume alieelimika na mwenye confidence. Haya maskrepa yenye inferiority complex siyataki.
Hivi huwezi kufikiri zaidi ya hivyo vitabu vya dini?Pole sana, lakini hayo sio maneno yangu bali ya vitabu vitakatifu labda useme huvifuati tena.
Sijui ni dunia gani unaishi, lakini hao unaopenda kuengage nao wengi wana tabia kama za wanaume wa kiafrika, ni sharia zao kali tu zinawabana.
Hata hivyo, unaweza kutumia msuli mkubwa hadi uipate ndoa na westerners.
Oh praise the Lord. You get it!!!Hivi huwezi kufikiri zaidi ya hivyo vitabu vya dini?
Sipendi watu wanaoshikiwa akili na vitabu vya dini.Oh praise the Lord. You get it!!!
Vitabu vyenyewe ndo hivyo hivyo vilikuwa vinaamrisha majeshi yakawaue wanaume na wamama wa mataifa Mengine lakini wajichukulie mabikra (A. K. A ubakaji). Wala sishangai wanaume wako hivi walivyo, hadi wana vitabu kuwatetea. Their God is God of men only.
Sawa sista, kuwasemea sio lazima mtu awe na qualifications za kuwasemea, either kujifunza culture yao ukiwa nao au kwa njia ya kusoama.Unaweza kutumia maandiko kuProve whatever you want. I could also kitabu cha methali kuwasema wanaume aina yako, wasiojua kuishi na watu, kujiona wanajua kila kitu na wako juu ya watu.
Ni inferiority complex yako tu na si vingine.
AND PLEASE DON'T SPEAK FOR THEM. YOU DONT QUALIFY. eti wana tabia kama za waafrika ptuu
Did you write this for the sake of mipasho ama it came with conviction from the bottom of your heart!??
Ndio utofauti wa binadamu hio, wengine hupenda kufuata vitabu vitakatifu huku wengine wakifuata vile wenzao wanavyofanya, ni choice tu!!Sipendi watu wanaoshikiwa akili na vitabu vya dini.
Well sijui umeishi na wazungu aina gani. Kama Ni red necks hata wao siwataki. Otherwise usifananishe westerners na inferiority complex za huku .Sawa sista, kuwasemea sio lazima mtu awe na qualifications za kuwasemea, either kujifunza culture yao ukiwa nao au kwa njia ya kusoama.
Hivi comments zangu zinaonyesha najiona najua kila kitu...lol
Suit yourself...!Ndio utofauti wa binadamu hio, wengine hupenda kufuata vitabu vitakatifu huku wengine wakifuata vile wenzao wanavyofanya, ni choice tu!!
Contradiction; do you believe in fairness or equality?There u go.
I too, believe in equity.
Equity =, fairnessContradiction; do you believe in fairness or equality?
asante mkuuHahaha åa. ......"watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao???" Aiseee kula like nyingi mkuu statement ya karne hii
I believe in equity....go grab your dictionary dude.Contradiction; do you believe in fairness or equality?
Equity =, fairness
Haha...thanx, ninayo...I believe in equity....go grab your dictionary dude.
Wasichana wengi wakiingia 30+ ndipo hapo utauona uhalisia wao!Wakiwa 20+ too many options to them
Mm isha kataliwa posa kwa mdada under 25 sababu sina nyumba Masaki na Vogue ya kutembelea lkn alipofikisha 33+ akaniambia yupo tayari aolewe na mm hata kama ninaishi Itigi
Ehehehe nilicheka sana!
Ahahaha hata wewe ukigonga 30+ utatuliza boli tu na utasikia bila hata kuulizwa"baby Malafyale kama upo home kwako Manzese nije kulala?Hahahahahaa! Hao 30s maboyaaaaa tu. Wengine umcharuko hawauwezi wanaiga kunya kwa tembo tu. Watu wamegonga 40 na upuuzi kina Fausta Kamejaaa, mpaka kimeeleweka sahivi wana bail BIG. We unadhani Klyn alivogonga 30 hakuviona vikopo vya chooni vya kuparamia? Kibaoooooo! Alikomaaaaaaaa mpaka mwishoooo. HILI GAME LA 30 AND ABOVE LINAITWA WINNER TAKES IT ALL, LOOSER LOSES EVERYTHING. NOT EVERY ONE HAS STOMACH FOR IT.
Ukisander, tafuta kikopo cha chooni uolewe utulize mshono.
Daah naona umerudi....Hahahahahaa! Hao 30s maboyaaaaa tu. Wengine umcharuko hawauwezi wanaiga kunya kwa tembo tu. Watu wamegonga 40 na upuuzi kina Fausta Kamejaaa, mpaka kimeeleweka sahivi wana bail BIG. We unadhani Klyn alivogonga 30 hakuviona vikopo vya chooni vya kuparamia? Kibaoooooo! Alikomaaaaaaaa mpaka mwishoooo. HILI GAME LA 30 AND ABOVE LINAITWA WINNER TAKES IT ALL, LOOSER LOSES EVERYTHING. NOT EVERY ONE HAS STOMACH FOR IT.
Ukisander, tafuta kikopo cha chooni uolewe utulize mshono.