Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Hahahaa kabla sijasoma hili jarida @atoto naomba summary tafadhali...ntalipitia badae
Ila kuna dalili za mtu kupanik..
 
Kila thread naona inakusaidia "kutambua" tofauti ya wavulana na wanaume. It's time you graduate on that field.
Sisi wavulana tutajitahidi kuwaweka sawa, dada, shangazi na jamii kwa ujumla.

Huwezi kugraduate elimu dunia, kila siku unajifunza kitu kipya na kufunza kitu kipya.
 
Teh teh teh teeeeh!! Haya ex darling tumekusikia hizi mimba tunazojitundika wenyewe hatutojitundika tena, sema aimeeeen!
Tunawatundika mimba, wala hamjitundiki wenyewe. Mlichoshindwa ni kimoja tu, ujuwe simba jike hatoagi "chiu" ovyo kwa simba dume, hata jogoo hapewi ovyo na kuku jike.
Lakini nyie imekuwa ni shida, hatuombi tena...wala hatupati shida kupewa!!
 
Eti bwana semeji na wewe huna dhambi? Tunapambana na hawa wanaojiona miungu watu humu.
Mimi ni shetani kabisa.

Kwani mtoa mada kasema yeye hana dhambi au wanaume hawana dhambi? Kwa kichwa changu kigumu nimeelewa kasema 'kuna wanawake wanajifuja sana ujanani mambo yakiwa si mambo ndio wanamrudia Mungu'

Hamna ka ukweli kwenye hilo? Hamna wanawake wanaofanya hivyo?

Kuhusu wanaume nao kuwa na dhambi thats another topic for another day
 
Ni jambo jema kukumbushana kumrudia Mungu,
Tatizo linakuja pale ambapo lugha inayotumika na namna tunayotumia kukumbushana.
Mda mwengine tunakumbushana kama vile sie tunaowakumbusha ni wasafi saana,
@ibra87
Asante,mimi hapa nimekuelewa sana....tupo pamoja sasa..
 
Hahahaa kabla sijasoma hili jarida @atoto naomba summary tafadhali...ntalipitia badae
Ila kuna dalili za mtu kupanik..
katika maisha yangu sijui kupanic.. Sijui kukasirika lakini najua kujibu tu kuendana na mada Iliyopo. Kama wapo waliokudanganya basi nitakuonyesha kila kitu
 
Tunawatundika mimba, wala hamjitundiki wenyewe. Mlichoshindwa ni kimoja tu, ujuwe simba jike hatoagi "chiu" ovyo kwa simba dume, hata jogoo hapewi ovyo na kuku jike.
Lakini nyie imekuwa ni shida, hatuombi tena...wala hatupati shida kupewa!!

Oooh kwahiyo unataka kusemaje ndugu? Kumbe tunapotoa tuu dhambi inakuwa ni yetu tuuuu, okey didnt knew!
Mbona sasa mnajikanyaga na mixed feelings? Mara akina dada tumezidi kutenda dhambi, mara hapo hapo dhambi tunaifanya wote, hivi hizi ndizo akili alizosema bwana Mungu mzitumie kuishi nasi??
 

Hahahaaaaa!
Its not a topic for another day, kwani wanafujwa na nani?? Its a topic for today, ili tupate dawa ya hiyo hii kitu lazima iende both sides, ila kila mwanaume anayepost humu anajifanya hana dhambi kabisaaaa!
Kwani dhambi ni kwa wanawake tuuuu!
 
Hahaha nimecheka sana, thread imekaa ndipo haswa.
Bhita ni bhita mura. Alafu vidada vyenyewe siku hizi ni viongo balaa. Vingi hata havijui vinataka nini...! Ngoja vichezee ujana, sisi kaka zao tutawasaidia kulia mda ukifika.
Huwezi kusema wadada wenyewe?mpaka uite vidada mshenga vepeeh au kwenu hamna kina Dada huko,tupe heshima yetu sio vidada ndio nini hicho
Msijitie nyiee hamna matatizo,huo mda wa kutusaidia kulia wewe maisha yako yatakua hayana tatizo I hope...punguzeni unafiki kila mtu ana zigo lake shughulikeni na ya kwenu...
 
@sumbai, ibra najijua ni mtu wa aina gani najijua nikoje na nimsafi kiasi gani ndio maana nawakumbusha. Ningekuwa mchafu nisingeshauri watu hapa. Tatizo tunaamini kile tusichokijua ndio maana hatuijui maana Halisi. Daima simama wewe kama wewe na kwenye ukweli huwa nasema ukweli @sumbai...
 
@atoto mada hii ni 'akina dada acheni kumsumbua Mungu' tujadili hii mada.....kuhusu wanaume/wavulana wanaomsumbua Mungu au wenye dhambi wekeni thread yake.

halafu ukisema kila mwanaume anaepost humu anajidai hana dhambi si kweli....
 

Hapa tunaongelea wanawake na tabia zao, leteni hoja kwa wanaume na ijadiliwe. Wote tuna dhambi. Naona uzi unakupanikisha sista, take a chill pill n relax, utaelewa hoja.
didn't know
 
Ameeeeni.....!

Na tabia ya ukweli huegemea upade fulani,
Ukweli haupaswi kupuuzwa kamwe... ukiupuuza unatabia ya kujirudi...

J.k nyerere
 
Ile ilikuwa weekend mood.....hii ni blue monday mood au???
 
Wakati nakuwa niliambiwa mwanangu tusi malaya ni kawaida kwa kila mwanamke kutukanwa....
Mtoto wa kiume alivyolelewa na mama yake ndivyo atakavyowaheshimu wanawake wanaomzunguka,sikatai inawezekana wadada waliochangia humu michango yao haijakupendeza ila jambo moja ulikuwa hulijui mama yako pia ni malaya ndio maana huoni uzito kumuita mwanamke mwingine malaya, hatujashtuka lakini kawaida.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…