Ha haa raha ya huu uzi ni kwamba umetukumbusha tuzidi kumtegemea Mungu tofauti na nia ya mtoa mada kwamba tukae(mkae) mbali naee....Tupate masong ya kuanzia siku
1.Mungu amenihurumia, Tendo hili kubwa sana
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu
Sasa najua haya yote, sasa najua haya yote
Nasifu rehema zake, Nasifu rehema zake.............
Song no.2 huu wimbo ni wa Roman Catholic
Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama)×2
Nani angesimama mbele zako
N:B @atoto na @brenda18 tafadhali muimbe tu kimoyomoyo, I go no trust sauti zenu za mikwaruzo namba 9 na nusu mmmh. Msubiri tu wimbo wenu spesheli
mwanaume kuoa ni uamzi na mwanamke kuolewa ni bahati kumbuka hiloTeeeh usimbeeee haya na nyie mbona mkiwa vyuma chakavu mnamrudia muumba wenu? Awapatie mke bora atokae kwa bwana
Aah jamani sasa tukikaa mbali na Mungu, tutakaa karibu ya nani? Nyie binadamu wenzetu????? No wayHa haa raha ya huu uzi ni kwamba umetukumbusha tuzidi kumtegemea Mungu tofauti na nia ya mtoa mada kwamba tukae(mkae) mbali naee....
Naona unaanzisha pambio...bado @atoto ataanzisha ile ya kuabudu
yaani jana na leo nimegundua humu kuna walokole weng lakini maneno yao wanayoandikaga humu wala hayasadifu, sasa sijui hawajui hata mawazo yao yanahesabiwa, maana kitu hadi uandike humu ni lazima ukiwaze/ukifikirieimwanaume kuoa ni uamzi na mwanamke kuolewa ni bahati kumbuka hilo
Jf kuna mambo mawili mkuu.yaani jana na leo nimegundua humu kuna walokole weng lakini maneno yao wanayoandikaga humu wala hayasadifu, sasa sijui hawajui hata mawazo yao yanahesabiwa, maana kitu hadi uandike humu ni lazima ukiwaze/ukifikiriei
Hivi ni coincidence @atoto @brenda18 mmekuwa vinara hii thread? im just surprised @housegirl sijamuona humu sijui anaumwa?!! Hii #TeamPasuaKichwa halafu naona @Lara1 nae kaongezeka huu mwaka kutawaka moto!!!
hakuna cha kuchangamsha genge hapo, hiyo ni serious, we angalia comment za kiumeni na kikeni utagundua nani anachangamsha genge, mmoja anaandika gazeti mmoja mistari miwili anasepaJf kuna mambo mawili mkuu.
Kuna watu wanatoa yamoyoni na kuna watu wanachangamsha genge...
Do not take sirias kivilee...!
Hutapata hitimisho sahihi
Ha haa raha ya huu uzi ni kwamba umetukumbusha tuzidi kumtegemea Mungu tofauti na nia ya mtoa mada kwamba tukae(mkae) mbali naee....
Naona unaanzisha pambio...bado @atoto ataanzisha ile ya kuabudu
mwanaume kuoa ni uamzi na mwanamke kuolewa ni bahati kumbuka hilo
Inatia moyo kuona vijana kama Ndabita, wanatoa changamoto za kueleweka namna hii.
teh! kushangaa must, maana hao wanaoanguka huko ndo hawa hawa wa mtaani, na kila siku wanaanguka hawabadilikagi wale, poor them!
Haya bwana Msumbuenii....msumbuenii...!Shemdarling huu ni mwaka wa kumuaibisha shetani na mawakala wake woteeee!!
Ni mwendo wa kupiga sala tu, mawakala wa shetani wanabaki vinywa wazi, tafadhali tu nzi wasiingie, @Heaven Sent kanikataza kuimba kwa nguvu hivyo naimba kimoyomoyo
Mornin darlin
Nachaji tu vizuri camera yangu hapa, ntakurekodije leo ukijiangusha.
yaani jana na leo nimegundua humu kuna walokole weng lakini maneno yao wanayoandikaga humu wala hayasadifu, sasa sijui hawajui hata mawazo yao yanahesabiwa, maana kitu hadi uandike humu ni lazima ukiwaze/ukifikiriei
Mkuu wote(me+ke) tuu panik nyingi na mihemko.....hakuna cha kuchangamsha genge hapo, hiyo ni serious, we angalia comment za kiumeni na kikeni utagundua nani anachangamsha genge, mmoja anaandika gazeti mmoja mistari miwili anasepa
teh! teh! teh! malizia pambio kwanza mlokole wanguNa wewe kwa kuwashangaa ukabadilika kweli yaani, sema aimeeeen!!
Aah jamani sasa tukikaa mbali na Mungu, tutakaa karibu ya nani? Nyie binadamu wenzetu????? No way
Ashindwe mara ngapi sasa, ashashindwa kitambo. Tumeshamkemea vya kutosha. Sasa hivi ni maombi ya kushukuru na kukiri tu ushindi. Baba tunasema Ahsante kwa sababu umesema "yote yalikwisha pale msalabani"Shemdarling huu ni mwaka wa kumuaibisha shetani na mawakala wake woteeee!!
Ni mwendo wa kupiga sala tu, mawakala wa shetani wanabaki vinywa wazi, tafadhali tu nzi wasiingie, @Heaven Sent kanikataza kuimba kwa nguvu hivyo naimba kimoyomoyo
mbona quote nyingi nyingi dada, ningependa utumie ile option ya multiple quoteWe nae si tunaendaga wote kwa mwakasege ila hauangukagi, vipi maneno yako yanasadifu ulokole wako?
Barikiwa ktk jina la Bwana!
na wewe ni mmojawapo? kwanini usituonyeshe njiaMkuu wote(me+ke) tuu panik nyingi na mihemko.....
Ushabiki mbele zaidi...
Ukweli ule mchungu tunaweka pembeni..