africa6666
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 281
- 53
Njooni Kibugumo
Kuna fisi na bundi huko.Njooni Kibugumo
Asante kwa kunyoosha mstari.
folen c kero tena,ni kivutio cha utalii,labda useme vibaker
1.Traffic police kujifanya wao ni mataaFoleni ni kivutio cha utalii???
Njoeni mpwapwa. Ngoja nianze kuwataftia viwanja vya kujenga.
Lazima uwe makini mkuu.Kila unayetaka kuoa, nyuma kumbe ni CHANGU, hii hali Dar ipo sana!
Sana tu...Umeona eeh?
mdada akipanda daladala tu basi atatoa huduma atake asitake hakuna kuringa dar