Kinachonikera nikiwa jijini Dar

Raha ya foleni hasa kwa wenye magari "full kiyoyozi" ndo muda wa kutembelea social network kama JF, Facebook, n.k pia unaweza kuweka "oda" ya kitimoto sehemu, ukifika tu kinawekwa mezani....bongo raha jamani(kama una pesa tu!)

 
Tuachieni na DAR yetu,kwani hamjui viongozi wetu wa DAR ,wanatumia Masaburi kufikiria na kuyafanyia maamuzi.Achilia mbali Starehe za maungo.

DAR kila mtu mjuaji,awe kaja jana,juzi au mwaka juzi.
DAR kila mganga yupo/mchawai yupo
DAR wezi,matapeli wahindi ndo waliko
DAR is the mother of all Chaos .yet no one in DAR is complaining
Tuachieni na DAR yetu.if u cant stand the Heat/smoke get out of the kitchen.
 
FOLENI
MABODABODA MPKA
yanaleta kinyaa
madala kukatisha ruti
MAJI
MVUA IKINYESHA HATA
DK 5 MAJITU YANAFUNGULIA
VINYESI HOVYO
WATU KUVIZIA WENZAO
wamelala wanaenda kutupa taka hata milangoni mwao
TAKA KILA MAHALI
OOOOPS MATEJA
KILA KONA HAPA TOWN
 
Foleni ni kivutio cha utalii???
1.Traffic police kujifanya wao ni mataa
2. Kusimama foleni muda mrefu kisa mkubwa fulani anataka apite
3. Maji
4. Daladala kujaza kupita kiasi
5. Wizi na utapeli mjini
6: rushwa kwa polisi njenje
7. Miundombinu mibovu kila kona
 
Dar
1.usanii,
2.hakuna uaminifu
3.kila mtu anamshtukia mwenzake
4.,ukipaki gari una wasiwasi ntalikuta kweli?!! ama hata vioo ntavikuta?!!
5.mji mchafu full
6. kila kona bar mziki kelele
7.Maji,umeme,nyumba( makazi) shida tupu
8. baba lao ni ( FOLENI)
9 matumizi ya dola
 
Dar kuna kuishi?!! ni kusindikiza kwa kweli...nikifikisha miaka 35 ntaanza kujiandaa kuondoka huu mji manake unaweza ukakosa nguvu za kiume kwa hizi kero za hapa loh
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom