Dawa ni kubakia huko kwenu sijui wanaita itabanya balasi. AMINI USIAMINI. Ukishaizoea DAR, hutapenda kuishi mji wowote TZ zaidi ya hapa.
HATA HIVYO KARIBU SANA MKUU.
....unaingia kwenye ofisi yenye kiyoyozi...una shida na bosi, bosi anaongea na simu dk. 54,akimaliza unamuleza shida yako....ukitoka nje mwili wako umesha adopt ac lo! utadhani umetupwa kwenye tanulu la moto,
Bongo darasalama is the best place for me, born herehere study herehere and raised herehere. Hakuna mji nje ya Tz au huko Bara au Pemba kunapolipa. Bongo ni chungu kaa huna ela na hujui starehe zinapatikana wapi au huna hobi upo upo tu..
1. Uchafu hasa kwenye mitaro chakushangaza unatolewa na kuwekwa kando ya barabara na hautolewi kupelekwa dampo. 2. Foleni na kila mmoja kujiona ana haraka kuliko wengine na kusababisha usumbufu na kuzidisha foleni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.