Kinachondelea Dodoma: JK, Mkapa, Mwinyi mko wapi?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,410
3,548
Safari bila wazee haiendi. Nyinyi kama wakongwe wa chama na serikali kinachoendelea kwasasa mjini Dodoma si sahihi na hakivumiliki inabidi mjitokeze mumpe muongozo kinyume na hapo naona kabisa 2020 hata kama akishindwa na UKAWA kwenye sanduku la kura hatokubali kutoka.

Ni wakati wenu sasa kumpa mwongozo wa busara na hekima zenu kinyume na hapo tutakuja kujta siku za usoni.
 
Bado tunaambiwa sio dikteta,bado tunaambiwa anawapenda sana watu wa vyama vya upinzani kwani yeye habagui na ni muumini mzuri wa dini ila ndani ya chama chake tu anachinja asiokubaliana nae!!

2020 akubali matokeo akishindwa? Anachukia tu gari ya mwenzie kufutwa vumbi kituo cha polisi,je wale vijana wa UKAWA waliokuwa wakipiga deki barabara na Lowassa wao?!

2020 ndio anguko rasmi la kiuchumi na kiustawi wa jamii!!
 
Sasa nani Kati ya hao uliowataja kama angeshindwa dhidi ya ukawa nani angekubali kutoka? Kwa hoja hiyo kwa hao jamaa ndiyo kama unawapa morality ya kumuacha Mzee anachofanya . Labda Kama ungesema kwamba hata baada ya miaka kumi hatokubali kutoka kidooogo wangeshawishika
 
Safari bila wazee haiendi. Nyinyi kama wakongwe wa chama na serikali kinachoendelea kwasasa mjini Dodoma si sahihi na hakivumiliki inabidi mjitokeze mumpe muongozo kinyume na hapo naona kabisa 2020 hata kama akishindwa na UKAWA kwenye sanduku la kura hatokubali kutoka.

Ni wakati wenu sasa kumpa mwongozo wa busara na hekima zenu kinyume na hapo tutakuja kujta siku za usoni.
Wamejitenga na maruhani
 
Bado tunaambiwa sio dikteta,bado tunaambiwa anawapenda sana watu wa vyama vya upinzani kwani yeye habagui na ni muumini mzuri wa dini ila ndani ya chama chake tu anachinja asiokubaliana nae!!

2020 akubali matokeo akishindwa? Anachukia tu gari ya mwenzie kufutwa vumbi kituo cha polisi,je wale vijana wa UKAWA waliokuwa wakipiga deki barabara na Lowassa wao?!

2020 ndio anguko rasmi la kiuchumi na kiustawi wa jamii!!
Wacha chama kiwe safi kwsni hso waliofukunza ni mungu alionfoka mlema chama kilibaki hai kaonfoka lowasa na wengine chsma bado kipo hai na hao wende waeche chsma kiendeshe kikatibs
 
Usiwe unakurupuka mzee kitulize
 
Back
Top Bottom