Kinachokuweka mjini

Kinachokuweka mjini

hahaha haaaa, mabvu zangu mie, you've made my day mkuu
 
damn!!nimekuta mm kinachoniweka mjini ni "mpiga deki"...aaaaaarghhhhh!!
 
haha haa.. i beg u msiweke jina la presidaa.... noooooooo
 
ha ha haaaaaa, mimi eti chapombe wakati hata sionji, au ntaanzia uzeeni nini!!!!!
 
Tehe tehe tehe..................... eti mimi bonge la tajiri
 
Eti Raisi!!!
Ina maana nitakuwa Prezdaa baada ya Jeikei nini?
manake sifa na vigezo vyote ninavyo..
Ni mtanzania pyua kabisa, nina akili timamu, hendsamu, n.k n.k..
Oooops Umri!!
Ngoja nianze mchakato wa ku lobby ili kigezo cha umri kichakachuliwe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom