Kinachokuvutia wewe kwenye mahusiano ni muonekano wa mtu au tabia ya mtu?

kwanza ilikuwa tabia… nikaona haichagui , nikahamia wenye sura mbaya! Akha! Nikagundua sura mbaya na roho zao mbaya kuliko shetani, wa sura nzuri nao mashoga, basi..ukiangalia pochi hupati stress mana huna feelings na mtu.
 
Ipo hivi...

binadamu wote jinsi tulivyoumbwa ..
ili tuweze kuzaliana ni lazima kujamiiana na hapo ndipo unavutiwa na jinsia tofauti....

Kitu cha kwanza watu huangalia muonekano /mvuto kisha tabia ndio itafuata

Hakuna mtu anayevutiwa "kimapenzi" na mtu kwa sababu tu ya "tabia" ni lazima kuna vitu alivutiwa navyo physically kwanza ndio ukaanza kuwa interested na kumchunguza tabia huyo mtu..
Kwa mtazamo huu, kuna watakaopata wapenzi na wengine wataendelea kuwa singo
 
Back
Top Bottom