Kinachokuvutia wewe kwenye mahusiano ni muonekano wa mtu au tabia ya mtu?

Kuna dada mmoja kibonge huwa ananifurahisha sana eti kanunua vifaa vya mazoezi na mipango mingi ya mazoezi lakini ukitazama kula yake yaani hata afanye mazoezi miaka buku hatakaa apungue yaani hali chakula kingi lakini anakulakula kila dakika yaani ni kulakula wa dunia nyingine
YaNi Mimi huwa nashangaa mtu kamaliza kula, dakka 20 nyingi akiona hata miwa anataman kula 😂😂😁
 
Kuna dada mmoja kibonge huwa ananifurahisha sana eti kanunua vifaa vya mazoezi na mipango mingi ya mazoezi lakini ukitazama kula yake yaani hata afanye mazoezi miaka buku hatakaa apungue yaani hali chakula kingi lakini anakulakula kila dakika yaani ni kulakula wa dunia nyingine
,😂😂😂Hii comment Jamani
 
Kumekuwa na tabia ya kubaguana katika kutafuta wapenzi; wapo wanaosema wanataka wapenzi wao mara wawe weusi, weupe, warefu, wanene, wenye chura, macho goroli, kiuno nyugwi, aliyejazia kifua n.k Bila kujua huyo muhusika hakuomba kuzaliwa jinsi alivyo, sasa hii tabia ya kukosoa uumbaji kwa kujitangazia sifa zako za kumtaka umpendaye, hujui hunapingana na uumbaji? Na hii inapelekea watu wengi kuwa singo mpaka uzeeni. Wengine wanaenda mbali mpaka kufanya upasuaji au maboresho ya maumbile yao. Sasa wewe kinachokuvutia ni muonekano au tabia ya mtu?
Naangalia matako
 
Mkuu kulikuwa na Halle Berry wa Bongo lakini yule wa Hollywood hamgusi wa bongo hata chembe kwa uzuri. Yule binti wa kipare alinipenda sana lakini tabia yake sasa!!! Wakati bado nadebate kichwani nisuke au ninyoe kuna siku akashushwa na jamaa mmoja jijini Dar kutoka Lunch. Huyo jamaa aliitwa kumba kumba na aliwapitia wadada wazuri wengi sana wa Dar na kulikuwa na tetesi jamaa ni muathirika. Basi siku ile niliweza kufanya maamuzi muafaka. Yes muonekano unaweza ukakuvuta lakini je, ukigundua tabia ni mbovu utaendelea KUPENDA!?

Kwa mara ya kwanza kinachokuvutia kwa mwenzako ni kipi?
 
Mkuu kulikuwa na Halle Berry wa Bongo lakini yule wa Hollywood hamgusi hata chembe. Yule binti wa kipare alinipenda sana lakini tabia yake sasa!!! Wakati bado nadebate kichwani nisuke au ninyoe kuna siku akashushwa na jamaa mmoja jijini Dar kutoka Lunch. Huyo jamaa aliitwa kumba kumba na aliwapitia wadada wazuri wengi sana wa Dar na kulikuwa na tetesi jamaa ni muathirika. Basi siku ile niliweza kufanya maamuzi muafaka. Yes muonekano unaweza ukakuvuta lakini je, ukigundua tabia ni mbovu utaendelea KUPENDA!?
Jibu ni moja tu, ni ngumu kudumu na binti mwenye tabia mbaya.
Mbali na hapo unajichimbia kaburi tu
 
Mkuu kulikuwa na Halle Berry wa Bongo lakini yule wa Hollywood hamgusi hata chembe. Yule binti wa kipare alinipenda sana lakini tabia yake sasa!!! Wakati bado nadebate kichwani nisuke au ninyoe kuna siku akashushwa na jamaa mmoja jijini Dar kutoka Lunch. Huyo jamaa aliitwa kumba kumba na aliwapitia wadada wazuri wengi sana wa Dar na kulikuwa na tetesi jamaa ni muathirika. Basi siku ile niliweza kufanya maamuzi muafaka. Yes muonekano unaweza ukakuvuta lakini je, ukigundua tabia ni mbovu utaendelea KUPENDA!?
Tabia kwanza ingawa inawezakuchukua muda kuifahamu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom