Kinachokuvutia wewe kwenye mahusiano ni muonekano wa mtu au tabia ya mtu?

Ipo hivi...

binadamu wote jinsi tulivyoumbwa ..
ili tuweze kuzaliana ni lazima kujamiiana na hapo ndipo unavutiwa na jinsia tofauti....

Kitu cha kwanza watu huangalia muonekano /mvuto kisha tabia ndio itafuata

Hakuna mtu anayevutiwa "kimapenzi" na mtu kwa sababu tu ya "tabia" ni lazima kuna vitu alivutiwa navyo physically kwanza ndio ukaanza kuwa interested na kumchunguza tabia huyo mtu..
 
Nakubaliana nawe ingawa kwa kupenda muonekano, tumewafanya wanawake watafute weupe, figa namba nane, chura n.k
Hivi vitu watu huvitafuta wenyewe kutokana na insecurities zao tu!
Lakini pia maurembo yanawasiadi wengine kuongeza muonekano kutoka mfano 5/10 to 8/10

Au huamini aki step up her game basi ..atapata attention zaidi wether ni kitaa au kwenye social media huko na kipata anachokihitaji!
 
Kumekuwa na tabia ya kubaguana katika kutafuta wapenzi; wapo wanaosema wanataka wapenzi wao mara wawe weusi, weupe, warefu, wanene, wenye chura, macho goroli, kiuno nyugwi, aliyejazia kifua n.k

Bila kujua huyo muhusika hakuomba kuzaliwa jinsi alivyo, sasa hii tabia ya kukosoa uumbaji kwa kujitangazia sifa zako za kumtaka umpendaye, hujui hunapingana na uumbaji?

Na hii inapelekea watu wengi kuwa singo mpaka uzeeni. Wengine wanaenda mbali mpaka kufanya upasuaji au maboresho ya maumbile yao. Sasa wewe kinachokuvutia ni muonekano au tabia ya mtu?
Nundu na usafi vingine mbele ya safari. tabia za kiasi asiwe na perepeche nyingi aka misifa nk.Mengine tutawekana sawa Mimi mwenyewe tabia zangu zinanishinda itakuwa za kwake
 
sio mbaya siku moja moja.. ila Ni mbaya kwa mwanaume kutumia neno kama "Teh" kwenye uandishi wake.
Teh wewe ndiyo haujui! Hilo neno bora akutamkie mwanaume mwenzako akikutamkia mwanamke ujue kakudharau!
 
Back
Top Bottom