Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.

Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .

hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".

Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa, Wewe Mtanzania Hujui usiku unakula nn, hunà uhakika wa Ajira, Familia zikizidi kua Masikini.

Mtazame ACP MAFWELE Huyu jamaa ana UTAJIRI Mkubwa sana pale Mwanza .

Kuna Kamishina Mmoja wa Jeshi wakati wa Magufuli, Akaunti zake zilishikiliwa Kwa muda Kwa sababu ya Mabilioni kadhaa aliojilimbikizia, huyu Kamishina pale Mwanza ana magorofa, hotels n.k .

Njoo kwa Ma CCM yenyewe, ni kama yanashindana , Kila MTU anachota pwaaaa na kuondoka .

Alafu yanakua kukuambia "AMANI AMANI AMANI".

Hamna Cha Amani Ndugu zangu, ni UJANJA wa kihuni unaotumiwa na haya Majambazi makuuu kuendelea kutuibiw watanzania, na majamaa haya YAKO TAYARI KUUA LAKINI SI KUACHA YAANGUKE ILI TIYAFIKISHE MBELE ZA HUKUMU .

WATANZANIA AMKENI, TOKENI KWENYE USINGIZI WA UJINGA , TANZANIA AMANI NI KAULI MBIU YA MAFISADI !!.
 
Yana mwisho na ukitaka kujua yana mwisho kila kiongozi wa ccm kasha weka tayari makazi yake nchi za nje ili litakapotokea watuache tukichinjana
 
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.

Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .

hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".

Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa, Wewe Mtanzania Hujui usiku unakula nn, hunà uhakika wa Ajira, Familia zikizidi kua Masikini.

Mtazame ACP MAFWELE Huyu jamaa ana UTAJIRI Mkubwa sana pale Mwanza .

Kuna Kamishina Mmoja wa Jeshi wakati wa Magufuli, Akaunti zake zilishikiliwa Kwa muda Kwa sababu ya Mabilioni kadhaa aliojilimbikizia, huyu Kamishina pale Mwanza ana magorofa, hotels n.k .

Njoo kwa Ma CCM yenyewe, ni kama yanashindana , Kila MTU anachota pwaaaa na kuondoka .

Alafu yanakua kukuambia "AMANI AMANI AMANI".

Hamna Cha Amani Ndugu zangu, ni UJANJA wa kihuni unaotumiwa na haya Majambazi makuuu kuendelea kutuibiw watanzania, na majamaa haya YAKO TAYARI KUUA LAKINI SI KUACHA YAANGUKE ILI TIYAFIKISHE MBELE ZA HUKUMU .

WATANZANIA AMKENI, TOKENI KWENYE USINGIZI WA UJINGA , TANZANIA AMANI NI KAULI MBIU YA MAFISADI !!.
Kwa sheria zetu hizi zisizo na meno kwa wenye vyeo hata wewe ndugu ungepata nafasi ungefanya hivyohivyo tu.
 
Amani ipo na hatupaswi kuiharibu kwa kisingizio chochote kile. Amani ipo na kuna watu wanafanya shughuli zao (za halali) kwa amani na utulivu. Sio kila mtu anahangaika na watawala na siasa zenu. Siuhalalishi wala siuungi mkono wizi na ufisadi, ila huu wizi na utapeli si ndio umejaa kwenye mitaa? Raia hawatapeliani na wakaona ni sifa? Sasa kwanini mkiona hilo kwa watawala mnalalamika? Wakati watawala ni watu miongoni mwenu, sio majini, ni watu kutoka miongoni mwenu.

Madhalimu hutawalishwa juu ya wenzao. Watu wakitaka waondolewe watawala madhalimu waache dhulma wao kwanza.

Ila licha ya hiyo mitihani, tunamshukuru Allah kuna amani na neema nyengine nyingi mno.

Mkiharibu amani hali ikiwa mbaya zaidi, si balaa? Hayo mnayoyalalamikia ni afadhali kuliko vita na machafuko.

Tunawaombea watawala uongofu na tunajirekebisha wenyewe kwanza, tuache dhulma sisi kwanza.
 
Waambie ukweli watanzania wengi ni vilaza sana! Amani ni ulaghai wa haya majizi TU ili yaweze kuiba vizuri! Pumbavu zao! Yanateka, kutesa, kupoteza, kulawiti, kubaka na kuua. Mashetani makubwa sana!
 
Watu wanashika ama kuomba madaraka ili wakaibe....poor brain
Hamna cha amani wala Mavi yao.
Ukombozi ni lazima
Hata waliopo nje ya madaraka ni wezi vilevile. Kuna biashara nyingi hazilipi kodi kabisa ama hazilipi kodi halali, inawezekana hata wewe umo.
Kumbuka kuwa ukifanya mauzo bila kulipa kodi ni wizi (mpe Kaisari yaliyo ya Kaisari).
Kiufupi nchi hii wote ni wezi, tumia fursa nawe iba.
 
Wanajifanya wana hubiri amani huku wameficha mapanga migongoni ili yoyote atakae hitaji haki wamkate kichwa, wanajifanya kuhubiri amani ili waendelee kupata urahisi wa kuiba kwa kwa urefu wa kamba zao,
Kama Mungu angekua anajibu dua mbaya basi ange waangamiza wote kwa pamoja wakiwa kwenye vikao vyao vya mboga mboga angekua ameiponya nchi
 
Amani ipo na hatupaswi kuiharibu kwa kisingizio chochote kile. Amani ipo na kuna watu wanafanya shughuli zao (za halali) kwa amani na utulivu. Sio kila mtu anahangaika na watawala na siasa zenu. Siuhalalishi wala siuungi mkono wizi na ufisadi, ila huu wizi na utapeli si ndio umejaa kwenye mitaa? Raia hawatapeliani na wakaona ni sifa? Sasa kwanini mkiona hilo kwa watawala mnalalamika? Wakati watawala ni watu miongoni mwenu, sio majini, ni watu kutoka miongoni mwenu.

Madhalimu hutawalishwa juu ya wenzao. Watu wakitaka waondolewe watawala madhalimu waache dhulma wao kwanza.

Ila licha ya hiyo mitihani, tunamshukuru Allah kuna amani na neema nyengine nyingi mno.

Mkiharibu amani hali ikiwa mbaya zaidi, si balaa? Hayo mnayoyalalamikia ni afadhali kuliko vita na machafuko.

Tunawaombea watawala uongofu na tunajirekebisha wenyewe kwanza, tuache dhulma sisi kwanza.
Maneno kuntu!
 
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.

Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .

hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".

Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa, Wewe Mtanzania Hujui usiku unakula nn, hunà uhakika wa Ajira, Familia zikizidi kua Masikini.

Mtazame ACP MAFWELE Huyu jamaa ana UTAJIRI Mkubwa sana pale Mwanza .

Kuna Kamishina Mmoja wa Jeshi wakati wa Magufuli, Akaunti zake zilishikiliwa Kwa muda Kwa sababu ya Mabilioni kadhaa aliojilimbikizia, huyu Kamishina pale Mwanza ana magorofa, hotels n.k .

Njoo kwa Ma CCM yenyewe, ni kama yanashindana , Kila MTU anachota pwaaaa na kuondoka .

Alafu yanakua kukuambia "AMANI AMANI AMANI".

Hamna Cha Amani Ndugu zangu, ni UJANJA wa kihuni unaotumiwa na haya Majambazi makuuu kuendelea kutuibiw watanzania, na majamaa haya YAKO TAYARI KUUA LAKINI SI KUACHA YAANGUKE ILI TIYAFIKISHE MBELE ZA HUKUMU .

WATANZANIA AMKENI, TOKENI KWENYE USINGIZI WA UJINGA , TANZANIA AMANI NI KAULI MBIU YA MAFISADI !!.
..ongeza na neno USALAMA kukaririsha watu as if kuna matishio makubwa sana ya uhalifu au uvamizi kuondoa amani na hali ya utulivu na kwamba wao tiss na polisi ndio wanafanya kazi kubwa kulinda amani na usalama..upumbavu mtupu na ghiliba za kihuni kabisa, wakati wao ndio waporaji wakubwa wa rasilimali za nchi!
 
Amani ipo na hatupaswi kuiharibu kwa kisingizio chochote kile. Amani ipo na kuna watu wanafanya shughuli zao (za halali) kwa amani na utulivu. Sio kila mtu anahangaika na watawala na siasa zenu. Siuhalalishi wala siuungi mkono wizi na ufisadi, ila huu wizi na utapeli si ndio umejaa kwenye mitaa? Raia hawatapeliani na wakaona ni sifa? Sasa kwanini mkiona hilo kwa watawala mnalalamika? Wakati watawala ni watu miongoni mwenu, sio majini, ni watu kutoka miongoni mwenu.

Madhalimu hutawalishwa juu ya wenzao. Watu wakitaka waondolewe watawala madhalimu waache dhulma wao kwanza.

Ila licha ya hiyo mitihani, tunamshukuru Allah kuna amani na neema nyengine nyingi mno.

Mkiharibu amani hali ikiwa mbaya zaidi, si balaa? Hayo mnayoyalalamikia ni afadhali kuliko vita na machafuko.

Tunawaombea watawala uongofu na tunajirekebisha wenyewe kwanza, tuache dhulma sisi kwanza.
Kwamba watawala wamewaiga wananchi kuiba? Kinachotakiwa ni haki, amani itakuja automatically. Labda useme haki inayotakiwa itaondoa amani. Huenda ww ni mfaidika wa huu wizi wa viongozi, hivyo huu ni ukweli usioupenda.
 
Back
Top Bottom