Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Hapa haihitji nguvu kubwa kuwaprovoke watu watoe mapovu just ni kuandika handsome makonda,watu wanakereka kweli kwangu rahaaaa. Wengi humu hawapendi uandike kile wasichokipenda wanataka wote tumsakame makonda,no way wanichukie tu na kunijudge watakavyo.

Natamani kuwaona walioniweka kwenye ignore list hahahah its funny.

Yeah hata kwenye soka hasa fainal mshindi lazima apatikane baada ya purukushan ndefu za wachezaj na mashabiki kutoa sapoti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka ignore list hii chiboko, ila kumbe wewe mchokozi unafanya makusudi.

Off topic:
Nahisi unashabikia Yanga pia.
 
Yaano wewe na wenzako mnaowachafua viongozi wa nchi hii, sababu ya kuwa wa upinzani na wavunja sheria hata ya ngada

Unakuwaga upo sababu hujapewa cheo bado maumia fulani kiaina hadi upate cheo unachotaka.

Eti ndio umeandika hahahaaaa


Hatoki mtu kwenye cheo, akitoka mtatafuta mengine hakuma mjinga wa kuachia kazi kisa uongo wenu na wivu


Hii awamu ya 5 mtaisoma namba zaidi na zaidi, na sheria mpya zinatinga soon.


Mnalo kwa kweli sababu mtaumia zaidi na zaidi.
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kuimaliza kazi ngumu,kubwa na muhimu ya kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wetu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika-TLS.

Nawapongeza Mawakili wote walioshiriki kuchagua wanaowaamini. Nawapongeza watanzania walio wengi kwa kutuunga mkono Mawakili tangu mwanzo hadi leo. Mmetupa nguvu ya kuwapuuza watishaji na kuwaonesha kuwa MAWAKILI SI WATU WA MCHEZOMCHEZO!

Baada ya mambo ya Arusha,tunaelekeza nguvu zetu Dar es Salaam kumng'oa Daudi Albert Bashite anayejiita Paul Makonda. Mapambano yatakuwa ya kimyakimya na ya wazi itakapobidi. Kama hataonesha cheti chake cha kidato cha nne,Bashite ataondoka tena kwa aibu

Iwe sirini au hadharani;iwe mteule wake anapenda au analinda, Bashite atatoka. Kwa mkakati huo jinsi ulivyosukwa,Rais atasikia,kujua na kuamua kumuondoa. Muda wa kufanya usafi umefika!

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Arusha)
Mbwa akipata kichaa na kuanza ngata majirani hâta km bado anang'ata wezi ni sa kuua tuu. Km wenzie wanamtaka wamweke ndani kwao awatafune. Cdm inabidi watangaze bashite s'il salama tena na anyang'anywe silaha.
 
Lazima ang'oke sasa. Uwepo wake si salama kwa Raia. Lazima tujiulize anapata wapi kiburi hadi cha kuvamia vyombo vya habari?

Nakumbuka Marehemu Mama Kibaki alikuwa na tabia hizo za kuvamia maofisi ya vyombo vya habari. Kila kitu siku hizi kiko kwenye public domain.
 
Hii ni siku aliyoiweka Bwana! Ni siku ya matumaini ni siku ya faraja! Ukombozi umewadia!
 
Kwani chama cha mawakili TLs kimegeuka kuwa chadema kwa kuchaguliwa lisu kuwa kiongozi?
 
Back
Top Bottom