mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,173
lAlisema yeye ni Mungu hivyo hatishiwi Nyau
Unachojitofautisha na wachangiaji wengine ni kwamba wenzako wana hoja wewe unaleta ushabiki maandazi! Hoja hii haiwezi kulinganishwa na ushabiki wa mpira kama unavyodai: Hapa ni hoja inayohusu kosa la jinai linalodaiwa kufanywa na Bashite aka Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa, kosa ambalo kwa watu wengine tayari wamekimbia kazi na ni serikali yenyewe iliyowakimbiza, lakini Bashite yeye bado yuko ofisini! Hapa watu wanahoji ni kwa vipi mtu aliyeibuka na orodha ya watu akawatangaza kuwa wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, lakini leo mtu huyo huyo anaonekana na magari ya hao mnaowaita wauza ganda! Akili ya kawaida inaelekeza wewe unayeleta ushabiki ukae pembeni uache watu wapambane kusafisha nchi yao iliyogeuzwa kuwa chaka la wahuni wanaotumia uzoba wa vijana na wananchi wengi wa nchi hii kupora mali za watu kwa mbeleko ya "upambanaji dhidi ya madawa ya kulevya"!Hapa haihitji nguvu kubwa kuwaprovoke watu watoe mapovu just ni kuandika handsome makonda,watu wanakereka kweli kwangu rahaaaa. Wengi humu hawapendi uandike kile wasichokipenda wanataka wote tumsakame makonda,no way wanichukie tu na kunijudge watakavyo.
Natamani kuwaona walioniweka kwenye ignore list hahahah its funny.
Yeah hata kwenye soka hasa fainal mshindi lazima apatikane baada ya purukushan ndefu za wachezaj na mashabiki kutoa sapoti.
Kwenye hili sijui anachomoka vipi badala ya kuendelea na 'charm offensive' apate support ya wananchi anampa mtego Magufuli mkubwa Sana.
Nimesikitika sana kuona wazee wa mabaka wa pale Upanga nao wanatumika vibayaHakikisha unajificha hapo ulipo,nimeona bandiko moja hivi sasa anajeshi lake lenye silaha!
Maneno yote yanini, kiongozi wa umma hapaswi kutuhumiwa, akituhumiwa lazima lazima awake watu sawa ili aendelee kuaminika na jamii.
Ndio maana lazima tujue mali za viongozi wetu kabla na baada na historia zao ni muhimu pia..
Kuonyesha vyeti mbona ni suala dogo sana kuliko nguvu inayotumika kutetea???
Huyu nae atakimbia kama alivyokimbia wajina wake Daudi Balali
Mtasuburi sana na video yenu ya kutengeneza.Mchungaji anaendelea kuchapa injili,nyie endeleeni na kutengeneza muvi,nchi inaenda mramambona Mchugaji mnzizi amumtoi kanisani akuna kitu kibaya katika kanisa kama kuzini ndomana dini yawezetu inasema mzinifu apigwe mawe mpaka afe..........
injili na uzinifu niwapi na wapiMtasuburi sana na video yenu ya kutengeneza.Mchungaji anaendelea kuchapa injili,nyie endeleeni na kutengeneza muvi,nchi inaenda mrama
Unachojitofautisha na wachangiaji wengine ni kwamba wenzako wana hoja wewe unaleta ushabiki maandazi! Hoja hii haiwezi kulinganishwa na ushabiki wa mpira kama unavyodai: Hapa ni hoja inayohusu kosa la jinai linalodaiwa kufanywa na Bashite aka Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa, kosa ambalo kwa watu wengine tayari wamekimbia kazi na ni serikali yenyewe iliyowakimbiza, lakini Bashite yeye bado yuko ofisini! Hapa watu wanahoji ni kwa vipi mtu aliyeibuka na orodha ya watu akawatangaza kuwa wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, lakini leo mtu huyo huyo anaonekana na magari ya hao mnaowaita wauza ganda! Akili ya kawaida inaelekeza wewe unayeleta ushabiki ukae pembeni uache watu wapambane kusafisha nchi yao iliyogeuzwa kuwa chaka la wahuni wanaotumia uzoba wa vijana na wananchi wengi wa nchi hii kupora mali za watu kwa mbeleko ya "upambanaji dhidi ya madawa ya kulevya"!
Amezini na wewe?injili na uzinifu niwapi na wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka ignore list hii chiboko, ila kumbe wewe mchokozi unafanya makusudi.
Off topic:
Nahisi unashabikia Yanga pia.
Hahaaa. . . Sio rohoya paka muzee. . Ni kwamba ana shield toka kwa bwana yule. .bashite ana roho ya paka...hafi haraka
Ng'ombe hazeeki maini.hongera sana mzee ! nilidhani kijana mwenzangu nijiweke