Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Kwanza namshukuru Mungu kwa kuimaliza kazi ngumu,kubwa na muhimu ya kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wetu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika-TLS.

Nawapongeza Mawakili wote walioshiriki kuchagua wanaowaamini. Nawapongeza watanzania walio wengi kwa kutuunga mkono Mawakili tangu mwanzo hadi leo. Mmetupa nguvu ya kuwapuuza watishaji na kuwaonesha kuwa MAWAKILI SI WATU WA MCHEZOMCHEZO!

Baada ya mambo ya Arusha,tunaelekeza nguvu zetu Dar es Salaam kumng'oa Daudi Albert Bashite anayejiita Paul Makonda. Mapambano yatakuwa ya kimyakimya na ya wazi itakapobidi. Kama hataonesha cheti chake cha kidato cha nne,Bashite ataondoka tena kwa aibu

Iwe sirini au hadharani;iwe mteule wake anapenda au analinda, Bashite atatoka. Kwa mkakati huo jinsi ulivyosukwa,Rais atasikia,kujua na kuamua kumuondoa. Muda wa kufanya usafi umefika!

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Arusha)

Kila la heri mzee mwenzangu katika kutekeleza majukumu yenu. Tanzania inawahitaji sana ninyi wanasheria na wanataaluma wa kada nyingine kusimama na kuiokoa nchi yetu.

Nilivutiwa sana na speech ya Mh. Lissu baada ya kuchaguliwa. Speech ile imebeba matumaini ya kila Mtanzania popote alipo. Simamieni yale mambo, piganiane haki za raia, utawala wa sheria, uwajibikaji na TLS yenu.
 
**"""MENTALLY SLAVERY"""***

NDIYO KINACHO TUSUMBUA SISI WAAFRICA ,,,"**HIVI MTU MPAKA ANACHAGULIWA KUWA MKUU WA MKOA...HIZI TAASISI ZA USALAMA WA TAIFA..NECTA..NA NYINGINEZO HAZIKUWASILISHA NYARAKA KUHUSU ANAYE TEULIWA KWELI...!?

BASI KAMA NDO HIVYO KUTOKANA NA HAYA YOTE KUNA MKONI AU MIKONO YA WATU KUHUSU KASHFA HII ....*"*"ironically kwa kufikirika tuu hata hawa viongozi wa dinu wanatumia hili KUM-UNDERMINE HUYU ALIYEANZISHA VITA YA UNGA... Ni hayo tuuu
 
Akiondoka pekee haitoshi, inabidi sheria ifuate mkondo wake!
Apigwe miaka kadhaa ya kunyea ndoo...
Nilikosea kusoma "mkondo" nilitaka kukuripoti kwa mod.
Teh teh teh
 
mbona Mchugaji mnzizi amumtoi kanisani akuna kitu kibaya katika kanisa kama kuzini ndomana dini yawezetu inasema mzinifu apigwe mawe mpaka afe..........

Alimzini maza wako au waifu wako au alikuinamisha wewe mwenyewe?
 
eee9b299c107b2254478575895578089.jpg
b54faf7e3357619346c63db73ed51068.jpg
Mh🙄
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kuimaliza kazi ngumu,kubwa na muhimu ya kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wetu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika-TLS.

Nawapongeza Mawakili wote walioshiriki kuchagua wanaowaamini. Nawapongeza watanzania walio wengi kwa kutuunga mkono Mawakili tangu mwanzo hadi leo. Mmetupa nguvu ya kuwapuuza watishaji na kuwaonesha kuwa MAWAKILI SI WATU WA MCHEZOMCHEZO!

Baada ya mambo ya Arusha,tunaelekeza nguvu zetu Dar es Salaam kumng'oa Daudi Albert Bashite anayejiita Paul Makonda. Mapambano yatakuwa ya kimyakimya na ya wazi itakapobidi. Kama hataonesha cheti chake cha kidato cha nne,Bashite ataondoka tena kwa aibu

Iwe sirini au hadharani;iwe mteule wake anapenda au analinda, Bashite atatoka. Kwa mkakati huo jinsi ulivyosukwa,Rais atasikia,kujua na kuamua kumuondoa. Muda wa kufanya usafi umefika!

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Arusha)
Umepotea kabisaa, ukowapi sikuhizi
 
Back
Top Bottom