Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Hapa utaratibu unaotumika ni FIRST IN FIRST OUT(FIFO).Tulianza kuomba cheti cha Daudi Albert Bashite wa Koromije ambae kwa mitaa ya Dar es salaam anajiita Paul Makonda.Ebu tuondolee upuuzi wako
FIFO ni msamiati kwa wengine
 
Ndio na mie nachochea zaidi tule ubuyu wa shilawadu. Usijali sihitaji like maana hazina hela humu
Ubuyu wa shilawadu utageuka shubiri kesho kumbe wanakula ngada na wao wanaliwa pia..... Za kunyapia nyapia
 
Watu wa dar bana hamtaki kutawaliwa na wa mikoani halafu mnaomba nguvu kutoka kwa watu wa mikoani!!! Nawashauri muendelee kupata msaada wa bure toka kwa mange(mwanamke wa dar)
Hujitambui ww bado upo kwenye tanzania ya gizan kama mnakosaga vya kuandika kausheni
 
Kile cheti feki ni hiki hapa hadharani.

View attachment 483107
eee9b299c107b2254478575895578089.jpg
b54faf7e3357619346c63db73ed51068.jpg
 
Daah! JF siku hizi ni raha sana..pini baada ya pini
Tena kuna kitu kimoja system kama inafikiri sawasawa inabidi ijitafakari. Baada ya kuwekwa ndani Maxence, walidhani watu wangeacha kuongea. Ajabu ni kwamba kwanza wamesaidia kuitangaza maana new members wengi mno siku za hivi karibuni, lakini pili watu ndio wanatema "nyama" kuliko hapo awali. Raha ya uongozi ni:-

U NGANISHA (watu, taasisi nk)
O NGOZA (uadilifu hekima, busara)
N YUMBULISHA (faida/hasara)
G AWANYA (rasilimali za taifa sawia)
O ANISHA (sheria, sera, taasisi nk)
Z INGATIA (ubinaadamu, mazingira)
I MARISHA (taasisi, huduma na hali za watu)

Kinyume cha hapo watu watakupinga tu. Hakuna alternative. Matumizi ya majeshi kwenye kuongoza ni mambo yaliyopitwa na wakati. Matumizi ya majeshi sasa hivi kwa nchi masikini ni kujenga economic and diplomatic influence na mataifa ya nje. Kwa nchi tajiri ni kutafuta unipolar, ingawa nalo linaenda linafifia.
 
Jiwe lilokataliwa na waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.
 
Hapa haihitji nguvu kubwa kuwaprovoke watu watoe mapovu just ni kuandika handsome makonda,watu wanakereka kweli kwangu rahaaaa. Wengi humu hawapendi uandike kile wasichokipenda wanataka wote tumsakame makonda,no way wanichukie tu na kunijudge watakavyo.

Natamani kuwaona walioniweka kwenye ignore list hahahah its funny.

Yeah hata kwenye soka hasa fainal mshindi lazima apatikane baada ya purukushan ndefu za wachezaj na mashabiki kutoa sapoti.
Hahahahaha wanaokasirika mtu akimtetea Makonda ni ambao hawaamini kama kila mtu ana haki ya kua na maoni yake na yasikilizwe.

Mwisho wa yote tutakua na pande mbili walio sahihi na wasio sahihi kwa sasa kila upande unajiona upo sahihi kwa kutumia common sense tulizojaaliwa, likifika hitimisho ndiyo upande sahihi rasmi utatambulika.
 
Back
Top Bottom