fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 884
Ingawa hana vyeti.. jamaa ni mtu wa watu saanaDah hapa nn tena mbona panatisha halaf hakuna maelezo.
Ingawa hana vyeti.. jamaa ni mtu wa watu saanaDah hapa nn tena mbona panatisha halaf hakuna maelezo.
Wakati si milelemtamtoa vipi mteule wa raisi?
Hayo ni maoni yako. Upo huruKwani chama cha mawakili TLs kimegeuka kuwa chadema kwa kuchaguliwa lisu kuwa kiongozi?
Haha ha eti muda wa usafi umefikaKwanza namshukuru Mungu kwa kuimaliza kazi ngumu,kubwa na muhimu ya kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wetu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika-TLS.
Nawapongeza Mawakili wote walioshiriki kuchagua wanaowaamini. Nawapongeza watanzania walio wengi kwa kutuunga mkono Mawakili tangu mwanzo hadi leo. Mmetupa nguvu ya kuwapuuza watishaji na kuwaonesha kuwa MAWAKILI SI WATU WA MCHEZOMCHEZO!
Baada ya mambo ya Arusha,tunaelekeza nguvu zetu Dar es Salaam kumng'oa Daudi Albert Bashite anayejiita Paul Makonda. Mapambano yatakuwa ya kimyakimya na ya wazi itakapobidi. Kama hataonesha cheti chake cha kidato cha nne,Bashite ataondoka tena kwa aibu
Iwe sirini au hadharani;iwe mteule wake anapenda au analinda, Bashite atatoka. Kwa mkakati huo jinsi ulivyosukwa,Rais atasikia,kujua na kuamua kumuondoa. Muda wa kufanya usafi umefika!
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Arusha)
[emoji40] [emoji40] [emoji40]"Huyu Ndiye Mwanawangu Mpendwa Niliemchangua Msikilizeni"
Yaano wewe na wenzako mnaowachafua viongozi wa nchi hii, sababu ya kuwa wa upinzani na wavunja sheria hata ya ngada
Unakuwaga upo sababu hujapewa cheo bado maumia fulani kiaina hadi upate cheo unachotaka.
Eti ndio umeandika hahahaaaa
Hatoki mtu kwenye cheo, akitoka mtatafuta mengine hakuma mjinga wa kuachia kazi kisa uongo wenu na wivu
Hii awamu ya 5 mtaisoma namba zaidi na zaidi, na sheria mpya zinatinga soon.
Mnalo kwa kweli sababu mtaumia zaidi na zaidi.
mawakili wasomi ni wale 88% tu waliomchagua lissu wengine waliobak ni mawakili bashiteMawikili wote ( hasa members Wa TLS) ni wasomi kinoma, sorry hivi wewe ni " miss natafuta" nn ? Elimu, mambuzi, au wachumba? Na walakini na Elimu yako!!!
Watamtoaje home boy? Angekuwa katoka kule angesha toka siku nyingimtamtoa vipi mteule wa raisi?
ucjigonge sana kwa bashite ana mke huyo au unataka kupakaza una mimba yake?Hahahahaha wanaokasirika mtu akimtetea Makonda ni ambao hawaamini kama kila mtu ana haki ya kua na maoni yake na yasikilizwe.
Mwisho wa yote tutakua na pande mbili walio sahihi na wasio sahihi kwa sasa kila upande unajiona upo sahihi kwa kutumia common sense tulizojaaliwa, likifika hitimisho ndiyo upande sahihi rasmi utatambulika.
weka namba apa utafutwekama upo single nitafute mkuu
Usirudie tena kuniquote halafu ukaandika utumbo wa kitoto kama uliouandika hapo. Hiko ulichoandika wewe na Bashite mna tofauti gani?ucjigonge sana kwa bashite ana mke huyo au unataka kupakaza una mimba yake?
Daah! JF siku hizi ni raha sana..pini baada ya pini