Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Kwanza namshukuru Mungu kwa kuimaliza kazi ngumu,kubwa na muhimu ya kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wetu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika-TLS.

Nawapongeza Mawakili wote walioshiriki kuchagua wanaowaamini. Nawapongeza watanzania walio wengi kwa kutuunga mkono Mawakili tangu mwanzo hadi leo. Mmetupa nguvu ya kuwapuuza watishaji na kuwaonesha kuwa MAWAKILI SI WATU WA MCHEZOMCHEZO!

Baada ya mambo ya Arusha,tunaelekeza nguvu zetu Dar es Salaam kumng'oa Daudi Albert Bashite anayejiita Paul Makonda. Mapambano yatakuwa ya kimyakimya na ya wazi itakapobidi. Kama hataonesha cheti chake cha kidato cha nne,Bashite ataondoka tena kwa aibu

Iwe sirini au hadharani;iwe mteule wake anapenda au analinda, Bashite atatoka. Kwa mkakati huo jinsi ulivyosukwa,Rais atasikia,kujua na kuamua kumuondoa. Muda wa kufanya usafi umefika!

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Arusha)
Mkuu mimi siku zote huwa nakupa SALUTE kwa michango yako iliyoshiba. kwa kumg'oa Bashite tupo wote
 
Mkuu huku namfata handsome makonda tu. Hunioni kumkosoa mbowe,lissu,wala cdm au ccm hayo ni masuala ya wazoefu zaidi.
Mkuu hatukosoi hua tunaweka facts ubaoni mwenye hoja za msingi anakua ndiyo mshindi.
Sasa kama ukiingia tu kisa handsome Makonda si unaingia huku una prejudice hauupi ubongo wako nafasi ya kufikiria cha kwanza kukujia ndiyo hiko hiko unakiandika.
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kuimaliza kazi ngumu,kubwa na muhimu ya kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wetu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika-TLS.

Nawapongeza Mawakili wote walioshiriki kuchagua wanaowaamini. Nawapongeza watanzania walio wengi kwa kutuunga mkono Mawakili tangu mwanzo hadi leo. Mmetupa nguvu ya kuwapuuza watishaji na kuwaonesha kuwa MAWAKILI SI WATU WA MCHEZOMCHEZO!

Baada ya mambo ya Arusha,tunaelekeza nguvu zetu Dar es Salaam kumng'oa Daudi Albert Bashite anayejiita Paul Makonda. Mapambano yatakuwa ya kimyakimya na ya wazi itakapobidi. Kama hataonesha cheti chake cha kidato cha nne,Bashite ataondoka tena kwa aibu

Iwe sirini au hadharani;iwe mteule wake anapenda au analinda, Bashite atatoka. Kwa mkakati huo jinsi ulivyosukwa,Rais atasikia,kujua na kuamua kumuondoa. Muda wa kufanya usafi umefika!

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Arusha)
Kama na wewe sasaivi unajiita "wakili" nawasiwasi na cheti chako.

Tuoneshe tuamini!!!!
 
Ndio na mie nachochea zaidi tule ubuyu wa shilawadu. Usijali sihitaji like maana hazina hela humu
[emoji13] [emoji13]
Kule Isidingo nitakupa like ila huku mhhh! Hapa watu wanatetea na kununua ugomvi usio wahusu
 
Naona mnataka kumchanganya mtukufu rais, Arusha mmempitisha mh. Lissu, Dar mnataka kumng'oa DB/Makonda wake!!!!!!!!!!!!
 
Hahaha aisee ningeingia kwa kumkashfu makonda na serikali nzima mngeniita mwanamke shujaa mwenye akili jaman. Sihitaji sifa za mitandaoni hazinisaidii kwenye real life.
Mkuu hatukosoi hua tunaweka facts ubaoni mwenye hoja za msingi anakua ndiyo mshindi.
Sasa kama ukiingia tu kisa handsome Makonda si unaingia huku una prejudice hauupi ubongo wako nafasi ya kufikiria cha kwanza kukujia ndiyo hiko hiko unakiandika.
 
Hahaha aisee ningeingia kwa kumkashfu makonda na serikali nzima mngeniita mwanamke shujaa mwenye akili jaman. Sihitaji sifa za mitandaoni hazinisaidii kwenye real life.
Usije ukakasirika tena.
 
Vyeti vya wenzenu mnavyo, ila vyenu hamna[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Subir nasi tuwe viongoz..ili wapate vyetu...wacha nikuulize kitu.."ulishawahi kujitekenya na ukacheka?"..ila mtu mwingine anaweza kukufanya ucheke..kama una kubaliana na mimi... basi tupo kwa right truck..Right?
 
Hahaa sijakasirika wala nn ila nahisi nakasirisha wengi kwa kujiweka upande wa makonda,mnisamehe tu wakuu.
Hahahahaha wanaokasirika mtu akimtetea Makonda ni ambao hawaamini kama kila mtu ana haki ya kua na maoni yake na yasikilizwe.

Mwisho wa yote tutakua na pande mbili walio sahihi na wasio sahihi kwa sasa kila upande unajiona upo sahihi kwa kutumia common sense tulizojaaliwa, likifika hitimisho ndiyo upande sahihi rasmi utatambulika.
 
Back
Top Bottom