Mambo yanayohusu ulinzi na usalama ni classified, hayapaswi kupewa media attention, vifaru ni silaha za kivita na sio vifaa vya kutunzia usalama, hivyo ukiona vifaru, ujue tayari taarifa za kiintelijensia zimeishawafikia, na wanausalama makini kote dunia, hujipanga kukinga ni bora kuliko tiba, hivyo vifaru huko ni kwa ajili ya tahadhai kabla ya hatari, kuna mambo fulani kuna magaidi fulani wamepanga kufanya ugaidi fulani, hivyo kitendo tuu cha kuviona vifaru na ulinzi ulioimarishwa, hao magaidi, hawataendelea tena kutekeleza nia zao ovu!.
Kwa hayo yanayotokea kwa vile Wanzanzibari wenyewe wapo na wameyakubali, ulitaka wafanye nini?!. Viongozi sio ni kama hawapo, bali kiukweli hawapo kikatiba na kisheria, muda wao ulikwisha asmi November 4, sasa wapo wapo tuu kama hawapo!. Wana dini pia wapo kuwafikisha watu mbinguni na sio kuwaingiza magaidi ikulu!, taasisi za kiraia zipo kufanya kazi za kiaia na sio kuingilia mambo ya siasa!, taasisi za haki za binadamu zipo na zinasubiri malalamiko yoyote rasmi kuhusu ukiukwaji wa haki za binaadamu, na hakuna malalamiko yoyote so far!, hii inamaanisha watu wote wameridhika na yote yanayotendwa!. Taasisisi za kisheria pia zipo, taratibu za taasisi zozote za kisheria ni kwa watu wenye malalamiko yoyote ya kisheria kuzifuata kuomba msaada wa kisheria, lakini kwa yote yanayotokea Zanzibar, hakuna yoyote aliyechukua hatua yoyote kulalamika popote, hivyo ulitegemea taasisi hizo zifanye nini?!, yaani daktari atoke hospitalini aanze kutembelea majumbani kuulizia wagonjwa?!, kikawaida kama mahali kuna mgonjwa, mgonjwa huyo ndie atakwenda hospitali kufuata tiba na sii vinginevyo!. Vyama vya siasa ndio kabisa, vipo kama havipo kwa sababu wao ndio waathirika wakuu, sheria taratibu na kanuni wanazijua, hawakufanya lolote zaidi ya kuitisha press conference na kupiga mikelele tuu, unategemea nini?!.
Usalama kwanza, mengine yote baadae!.
Pasco
Mi siogopi jina lako hata kidogo,kwa kukujibu,kama hoja ni kutawala tu,Tanzania iliitawala kwa muda Uganda mara baada ya Vita ya ukombozi. Pia Tanzania ilitawala Anjuani kabla hawamuweka Rais wanayemtaka na pote huko palitawaliwa na maafisa wa jwtz wenye vyeo vya kanali. Sheli sheli pia ilishawahi kushikwa na Tanzania kwa miezi kama mitatu,kwahiyo sioni la ajabu as long kwamba Zanzibar ina undergo security unrest kuelekea uchaguzi wa marudio[emoji4]
Kama ulinisoma na kunielewa, kazi ya vifaru sio kuleta amani, vifaru viko pale ili kutoa tahadhari kabla ya hatari, yaani ni kinga ambayo ni bora kuliko kinga, hao magaidi kile walichokipanga kukifanya, baada ya kuona vifaru, hawatakifanya tena, na uchaguzi utapita salama!, sasa kama watakuja kuyafanya baada ya uchaguzi, sasa hayo yatakuwa ni mengine, concern kwa sasa ni uchaguzi umalizike salama!.
Pasco
USILOLIJUA SAWA NA USIKU WA GIZAJamani tuwe wakweli. Hivi hili figisu kalianzisha nani? Hebu kwanza naomba mtafakari haya matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kutoka majimbo 31 kati ya 54 wakati wakiendelea kupokea mengine[Matokeo hayo yaliyokuwa yametangazwa kufikia saa mbili jioni Oktoba 27 ni kama ifuatavyo:
Matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar (Majimbo31/54)]
Jina Chama Kura Asilimia
Khamis Iddi Lila ACT-W 189 0.1
Juma Ali Khatib ADA-TADEA 93 0.0
Hamad Rashid Mohamed ADC 252 0.1
Said Soud Said AFP 223 0.1
Ali Khatib Ali CCK 240 0.1
Ali Mohamed Shein CCM 139,557 57.9
Mohammed Massoud Rashid CHAUMMA 257 0.1
Seif Sharif Hamad CUF 93,699 38.9
Taibu Mussa Juma DM 118 0.0
Abdalla Kombo Khamis DP 86 0.0
Kassim Bakar Aly JAHAZI 227 0.1
Seif Ali Iddi NRA 63 0.0
Issa Mohammed Zonga SAU 127 0.1
Hafidh Hassan Suleiman TLP 107 0.0
Zanzibar ina jumla ya wapiga kura 503,860 waliojiandikisha kupiga kura, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Halafu twendeni kwenye matokeo aliyotangaza maalim seif
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya fomu zote za matokeo kutoka vituoni, yeye amepata kura 200,007 dhidi ya kura 178,363 za mgombea wa CCM anayetetea nafasi yake, Dk. Ali Mohammed Shein.
Sasa twendeni kwenye tafakuri
1 Tume ilitangaza kuwa wapiga kura wote waliojiandikisha walikuwa 503,860
2. Kwenye majimbo 31 kati ya 54 iliripotiwa kuwa Dr. Shein alipata kura 139,557[57.9%] na Maalim Seif
alipata kura 93,699[38.9]
3 Vyama vingine vidogo vilipata kwa pamoja chini ya asilimia 3 ya kura zote
Alipotangaza ushindi maalim alidai kuwa alipata kura 200,0007 na shein alipata 178,363 hizi hesabu ni kwa zanzibara na pemba.
Hakuna kura zilizoharibika wala kura za vyama vingine
Hivi ndugu zangu hapa ni nani wa kulaumiwa? Hivi mlitaka tume ikubaliane na hesabu za maalimi seif ambazo alidai ni za visiwa vyote 2?
Maoni yangu ni kuwa[naomba msitukane ila mtafakari maana hili ni jamvi la 'those who dare to speak'
Maalim baada ya kuona hali ya matokeo kutoka majimbo 31 hadi tarehe 27 yalionyesha dhahiri kuwa ulikuwepo uwezekano mkubwa kwa chama chake kushindwa na ili afe kiume alipreempt tume kwa kuanza kutangaza yeye wakati akifahamu kuwa kwa sheria zilivyosasa ni tume pekee ambayo inahaki ya kutangaza matokeo.
wacha wapasuane
nipo i dont care anymore nimechoshwa na huu upuuzi unaoendelea hapa tz so kama noma na iwe nomaMoto unakuja huku kwenye kiwanda cha petroli , wewe unafikiri haya mambo yatamalizikia znz tu ??? au uko nje ya tz na tz huna jamaa yako yeyote ??
Nimesoma Kwa Umakini Nikadhani Una Kitu Cha Maana Ambacho Unataka Tukusikie, Kumbe Ushoga Mtupu!! Majimbo Yapo 51 Na Tume Imetangaza Majimbo 31 Yote Ya Unguja Na Kati Ya Hayo 31 Yenyewe, CUF Ilikuwa Na Viti 7 (MAJIMBO) Vya Uwakilishi Upande Wa Unguja Na Mgombea Wake Wa Urais Alimbwaga Yule Wa CCM Ktk Majimbo Hayo 7 Na Yule CCM Aliongoza Ktk Majimbo 24 Ya Unguja!! Haya Tuambie Hesabu Ya Majimbo 18 Ya Pemba, Ambayo Miaka Yote Na Cuaguzi Zooote Tokea 1995 CCM Inatoka Patupu (Hayo 18 Ni Baada Ya Figisu Za Kuyaunganisha) Je, CCM Walipata Majimbo Mangapi (Wawakilishi) Na Mgombea Wake Wa Kiti Cha Urais Alipata Kura Ngapi!!!!!?? Je, Kwanini ZEC Ya JECHA Ilpatwa Kigugumizi Kuendelea Na Utangazaji Matokeo Yaliobakia Ya Majimbo Ya Pemba!!!!!?? Je, Kwanini ZEC Haijaweka Hadharani Hicho Ulichokisema Kama Ndio Sababu Ya Jecha Kufuta Matokeo Hadi Leo Hii!!! JE, Kwani Hii Ni Mara Ya Kwanza Kwa CUF Na Mgombea Wao Wa Kiti Cha Urais Kusema Wao Ndio Washindi Mbele Ya Waandishi Wa Hbr!!!!?? JE, Sheria Inasemaje Kwa Mgombea Ambaye Amejitangaza Mshindi!!! Ni Kufuta Matokeo Ya Uchaguzi Au Kukamatwa Na Kushitakiwa!!!!?? JE, Matokeo Yaliosema Mgombea Wa CUF, Ni Jumla Au Ni Yale Ya Majimbo 31 Tu!!!! NADHANI Unachajaribu Kukifanya Kuupotosha Umma Wa TANZANIA, Kama Wanavyofanya Hao Waliokupotosha Ww Na Wenzio!!! Watanzania Wanajua Kila Kitu, Mnapata Shida Bure!!!Jamani tuwe wakweli. Hivi hili figisu kalianzisha nani? Hebu kwanza naomba mtafakari haya matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kutoka majimbo 31 kati ya 54 wakati wakiendelea kupokea mengine[Matokeo hayo yaliyokuwa yametangazwa kufikia saa mbili jioni Oktoba 27 ni kama ifuatavyo:
Matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar (Majimbo31/54)]
Jina Chama Kura Asilimia
Khamis Iddi Lila ACT-W 189 0.1
Juma Ali Khatib ADA-TADEA 93 0.0
Hamad Rashid Mohamed ADC 252 0.1
Said Soud Said AFP 223 0.1
Ali Khatib Ali CCK 240 0.1
Ali Mohamed Shein CCM 139,557 57.9
Mohammed Massoud Rashid CHAUMMA 257 0.1
Seif Sharif Hamad CUF 93,699 38.9
Taibu Mussa Juma DM 118 0.0
Abdalla Kombo Khamis DP 86 0.0
Kassim Bakar Aly JAHAZI 227 0.1
Seif Ali Iddi NRA 63 0.0
Issa Mohammed Zonga SAU 127 0.1
Hafidh Hassan Suleiman TLP 107 0.0
Zanzibar ina jumla ya wapiga kura 503,860 waliojiandikisha kupiga kura, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Halafu twendeni kwenye matokeo aliyotangaza maalim seif
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya fomu zote za matokeo kutoka vituoni, yeye amepata kura 200,007 dhidi ya kura 178,363 za mgombea wa CCM anayetetea nafasi yake, Dk. Ali Mohammed Shein.
Sasa twendeni kwenye tafakuri
1 Tume ilitangaza kuwa wapiga kura wote waliojiandikisha walikuwa 503,860
2. Kwenye majimbo 31 kati ya 54 iliripotiwa kuwa Dr. Shein alipata kura 139,557[57.9%] na Maalim Seif
alipata kura 93,699[38.9]
3 Vyama vingine vidogo vilipata kwa pamoja chini ya asilimia 3 ya kura zote
Alipotangaza ushindi maalim alidai kuwa alipata kura 200,0007 na shein alipata 178,363 hizi hesabu ni kwa zanzibara na pemba.
Hakuna kura zilizoharibika wala kura za vyama vingine
Hivi ndugu zangu hapa ni nani wa kulaumiwa? Hivi mlitaka tume ikubaliane na hesabu za maalimi seif ambazo alidai ni za visiwa vyote 2?
Maoni yangu ni kuwa[naomba msitukane ila mtafakari maana hili ni jamvi la 'those who dare to speak'
Maalim baada ya kuona hali ya matokeo kutoka majimbo 31 hadi tarehe 27 yalionyesha dhahiri kuwa ulikuwepo uwezekano mkubwa kwa chama chake kushindwa na ili afe kiume alipreempt tume kwa kuanza kutangaza yeye wakati akifahamu kuwa kwa sheria zilivyosasa ni tume pekee ambayo inahaki ya kutangaza matokeo.
nenda katafute mtu akusafishe chango wewe mpumbavu makamisha wote wa uchaguzi ni mijiCCM. wewe bweke kwa taariya yako CCM walikuwa hawana ujanja mara hii kwasababu cuf karatasi zote za matokeo walikuwa nazo na hii nimatokeo ya CCM wenyewe kuingia CUF wakawapa mikakati yote mara zote cuf walikuwa hawazipate karatasi zote za matokeo.Nilibahatika kukutana na watu waliokuwepo kwenye uangalizi wa uchaguzi na ambao walishiriki mazungumzo ya usuluhishi kabla Maalim Hajajiengua wanasema hawapingani na tuhuma kwamba cuf kwa namna moja ama nyingine kuna maeneo walicheza rafu za wazi kabisa unasemaje kuhusiana na hilo?
Ni kweli kwamba presidential vote hutegemea wingi wa kura. mimi sina statistics za idadi wa waliopiga kura pemba [island wise] na wale wa unguja ila ninafahamu kuwa kisiwa cha unguja kina watu wengi zaidi kuliko kisiwa cha pemba.Nimesoma Kwa Umakini Nikadhani Una Kitu Cha Maana Ambacho Unataka Tukusikie, Kumbe Ushoga Mtupu!! Majimbo Yapo 51 Na Tume Imetangaza Majimbo 31 Yote Ya Unguja Na Kati Ya Hayo 31 Yenyewe, CUF Ilikuwa Na Viti 7 (MAJIMBO) Vya Uwakilishi Upande Wa Unguja Na Mgombea Wake Wa Urais Alimbwaga Yule Wa CCM Ktk Majimbo Hayo 7 Na Yule CCM Aliongoza Ktk Majimbo 24 Ya Unguja!! Haya Tuambie Hesabu Ya Majimbo 18 Ya Pemba, Ambayo Miaka Yote Na Cuaguzi Zooote Tokea 1995 CCM Inatoka Patupu (Hayo 18 Ni Baada Ya Figisu Za Kuyaunganisha) Je, CCM Walipata Majimbo Mangapi (Wawakilishi) Na Mgombea Wake Wa Kiti Cha Urais Alipata Kura Ngapi!!!!!?? Je, Kwanini ZEC Ya JECHA Ilpatwa Kigugumizi Kuendelea Na Utangazaji Matokeo Yaliobakia Ya Majimbo Ya Pemba!!!!!?? Je, Kwanini ZEC Haijaweka Hadharani Hicho Ulichokisema Kama Ndio Sababu Ya Jecha Kufuta Matokeo Hadi Leo Hii!!! JE, Kwani Hii Ni Mara Ya Kwanza Kwa CUF Na Mgombea Wao Wa Kiti Cha Urais Kusema Wao Ndio Washindi Mbele Ya Waandishi Wa Hbr!!!!?? JE, Sheria Inasemaje Kwa Mgombea Ambaye Amejitangaza Mshindi!!! Ni Kufuta Matokeo Ya Uchaguzi Au Kukamatwa Na Kushitakiwa!!!!?? JE, Matokeo Yaliosema Mgombea Wa CUF, Ni Jumla Au Ni Yale Ya Majimbo 31 Tu!!!! NADHANI Unachajaribu Kukifanya Kuupotosha Umma Wa TANZANIA, Kama Wanavyofanya Hao Waliokupotosha Ww Na Wenzio!!! Watanzania Wanajua Kila Kitu, Mnapata Shida Bure!!!
Kama hizo ndiyo ndoto zako basi endelea kuota maana ingawa wale wazee wa 12 january 1964 sasa hivi wamechoka lakini watoto na wajukuu wamejaa tele nakuhakikishia mwarabu harudi zbar hata muungano ukifa. Kilichobakia fanyeni uchochezi halafu wanausalama wakija kimbilieni mombasa kama kawaida yenu na mwishowe muombe hadhi ya ukimbizi ughaibuni mle pesa za wavuja jasho wa huko [social welfare]Eti "uchaguzi umalizike salama" kwani uchaguzi mkuu wa october haukumalizika salama?iwapo mreno na mkoloni mweupe walifurushwa zanzibar basi elewa na mkoloni mweusi hatobaki salama zanzibar.
Kama hizo ndiyo ndoto zako basi endelea kuota maana ingawa wale wazee wa 12 january 1964 sasa hivi wamechoka lakini watoto na wajukuu wamejaa tele nakuhakikishia mwarabu harudi zbar hata muungano ukifa. Kilichobakia fanyeni uchochezi halafu wanausalama wakija kimbilieni mombasa kama kawaida yenu na mwishowe muombe hadhi ya ukimbizi ughaibuni mle pesa za wavuja jasho wa huko [social welfare]
Kama hizo ndiyo ndoto zako basi endelea kuota maana ingawa wale wazee wa 12 january 1964 sasa hivi wamechoka lakini watoto na wajukuu wamejaa tele nakuhakikishia mwarabu harudi zbar hata muungano ukifa. Kilichobakia fanyeni uchochezi halafu wanausalama wakija kimbilieni mombasa kama kawaida yenu na mwishowe muombe hadhi ya ukimbizi ughaibuni mle pesa za wavuja jasho wa huko [social welfare]
Chuki zako zinatisha. Umenyeshwa sumu Kali. Muone Daktari.Kama hizo ndiyo ndoto zako basi endelea kuota maana ingawa wale wazee wa 12 january 1964 sasa hivi wamechoka lakini watoto na wajukuu wamejaa tele nakuhakikishia mwarabu harudi zbar hata muungano ukifa. Kilichobakia fanyeni uchochezi halafu wanausalama wakija kimbilieni mombasa kama kawaida yenu na mwishowe muombe hadhi ya ukimbizi ughaibuni mle pesa za wavuja jasho wa huko [social welfare]
daa! kumbe na sisi wababe!!hv kuna nchi yoyote ya Africa iliyowahi kuitawala nchi ingine hapa africa zaidi ya TANGANYIKA?