Je ugaidi unafanywa na nani?Mambo yanayohusu ulinzi na usalama ni classified, hayapaswi kupewa media attention, vifaru ni silaha za kivita na sio vifaa vya kutunzia usalama, hivyo ukiona vifaru, ujue tayari taarifa za kiintelijensia zimeishawafikia, na wanausalama makini kote dunia, hujipanga kukinga ni bora kuliko tiba, hivyo vifaru huko ni kwa ajili ya tahadhai kabla ya hatari, kuna mambo fulani kuna magaidi fulani wamepanga kufanya ugaidi fulani, hivyo kitendo tuu cha kuviona vifaru na ulinzi ulioimarishwa, hao magaidi, hawataendelea tena kutekeleza nia zao ovu!.
Kwa hayo yanayotokea kwa vile Wanzanzibari wenyewe wapo na wameyakubali, ulitaka wafanye nini?!. ....
Usalama kwanza, mengine yote baadae!.
Pasco
Nani wamepanga ugaidi?
Wale wanaoitwa "mazombie" wanaingia katika kundi la magaidi au ni walinzi na watunza usalama?
Leo zipo habari hizi, kulikoni?
Link1. Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia
Link2. Breaking News: - Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi
Link3. Haya ndio yaliyotokea usiku wa kuamkia leo Pemba
Link4. Kisiwani Pemba hali yazidi kuchafuka: Polisi na Majeshi yazidi kumiminika