Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 991
- 3,488
Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.
Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.
Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara
Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.
Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.
Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.
We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.
North Korea
Kwa nini?
Sikia hiii
Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.
1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo
2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .
3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.
Twende sasa.
anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.
Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.
1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.
Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.
Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.
2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye
turudi China.
3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.
Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.
washirika wa kiduku wote watakua bussy.
Akili kubwa inaongoza akili ndogo.
Save my words.
Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.