Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

miungu ipo mingi, ila Mungu wa kweli ni mmoja tu, MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO, yaani Mungu wa Israel. wengine wote ni uchafu tu. tunataka waabudu Mungu wa kweli.
Pole sana hii ni Dogma ya Wayahudi, ni aina fulani ya ujinga na utumwa wa akili
 
Inaonekana Wewe ni Mshamba wa Wami au Namtumbo...na siku ukiiona ndege ya Raisi utashangaa kweli....
Ndio matatizo ya kuingia mjini mnajifanya kila kitu mnàjua, elezea ñi sehemu gain Tanzania marekani alipoweka base?
Labda nikuelimishe were mporipori kipindi cha kikwete wakati kapuya waziri was ulinzi marekani alitaka juweka base kigamboni lakini mkuu was majeshi wakati huo waitara alikataa na hiyo taarifa ilitoka hadi wikleaks.
Huo ujinga wako peleka sehemu nyingine ndio maana tunawaambia pronato wengi vichwa mlipewa vya kuotesha nywele
 
Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.

Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.

Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara

Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.

Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.

Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.

We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.

North Korea

Kwa nini?
Sikia hiii

Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.

1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo

2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .

3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.

Twende sasa.

anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.

Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.

1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.

Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.

Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.

2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye

turudi China.

3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.

Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.

washirika wa kiduku wote watakua bussy.

Akili kubwa inaongoza akili ndogo.

Save my words.

Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
Story za kijiweni
 
Akili ya utambuzi huna.....nawe ni wa Wami au Namtumbo Mshamba Wewe.....
 
Vinchi vya hovyo sana.
nchi za kicommunist waongo waongo sana Fatilia utanambia.
yan hata wakikuambia sasa hivi ni Mchana itabidi utoke nje ukahakikishe. hivi vizee viongo sana. wvinajiona ni visupapawa wakati hata kuungana vyenyewe kwa wenyewe haviwezi. vipo vipo tu. mikwara na kelele kibao.
 
Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.

Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.

Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara

Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.

Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.

Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.

We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.

North Korea

Kwa nini?
Sikia hiii

Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.

1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo

2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .

3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.

Twende sasa.

anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.

Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.

1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.

Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.

Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.

2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye

turudi China.

3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.

Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.

washirika wa kiduku wote watakua bussy.

Akili kubwa inaongoza akili ndogo.

Save my words.

Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
Military Base ya US kwa hapa bongo kiwanja ulimuuzia wewe?
 
Uzi mtamu sana huu, naona comments za Warusi wa Bongo wote wanaonyesha kukata tamaa kwa Urusi wamehamia kwa Korea Kaskazini ndiye sasa tegemezi lao, ila niwashauri tu, wangehamia kwa Mchina maana kwa kweli China imecheza parefu, hawajanasa kwenye mtego wowote, sema Marekani huwa hana nia ya kuisambaratisha China maana anaitegemea sana kiviwanda, kule kawekeza viwanda vyake Wachina wanafanyishwa kazi kama punda.

hii comment lakini ni uzi tayari
 
bro usitutoe kwenye mada ya msingi. hii sio fb tumia akili aliokupa Mungu kuelewa mambo.
Ahsante
usipende kuwa muhadithiaji kama baadhi ya watafsiri wa story movie zilizotafsiriwa kiswahili.... unakurupuka huko ulipotoka umeshiba unaropoka Marekani ana Military Base Tanzania kwani ukiandika unayoyajua tu umeambiwa uzi hauwezi kuwa uploaded.?
 
la muhimu kuliko hata chakula ninachokula. though sio dini pekee, ni Wokovu kwa njia ya Yesu Kristo ambaye bila yeye huwezi kuurithi uzima wa milele. kupitia Yesu Kristo. Yesu anaponya, anasamehe dhambi na alikufa kwa ajili yako.
“Na alikufa kwa ajili yako”. Hapa ni Nani unamzungumzia?🤔
 
Mungu akusaidie na akusamehe, kwasababu umejaa udhalimu na unamhitaji Mungu. homosexuality ni dhambi, haitakiwi kuwa na mjadala. hoja yangu ni kwamba, North korea inamhitaji Mungu, hawamwamini Mungu iwe ya Kikristo au ya kiislam, wao hawaamini. na kwasababu imani yangu mimi inaamini kwamba bila KRisto Yesu hatuwezi kumwona Mungu,ni kitu muhimu kwangu kupewa access kuingia North korea ili tukahubiri injili ya Yesu Kristo.
Mimi ninachomaanisha ni kwamba hakuna MTU mwenye ruhusa ya kuamua hatma ya MTU mwingine.wewe hapo unasema North Korea wapigwe na wasambaratishwe ili waje wapokee mapokeo mapya hakuna mwenye haki hiyo.mimi mwenyewe ni mkristo Larkin tena namuamini yesu ila Sina haki ya kuamua hatma ya MTU mwingine.pia unauhakika dini yako ni ya kweli alafu Yao ni ya uongo?
 
Mnajiita majina adimu (Alexander) harafu kichwa kinauji mtupu

Hutambui ile base military iliyopo Kenya(Mombasa),nikwajili ya ulinzi wake America ndani ya afrika mashariki ikiwemo tz zile tarifa zinazotolewaga na balozi za marekani na uingereza kuhusu magaidi kuvamia maeneo mbalimbali Uganda ,Kenya ,Tanzania hua zimechakatwa wapi ...mkuu

Hajakosea alivosema base military iliyopo bongo ndo hiyohiyo
Fact inabaki kuwa base iko Kenya sio bongo,usitulazimishie uongo wako.
 
Umeruka ruka weeeeeee kumbe dhumuni umtaje kamanda Putin mtu m bad kwa kumdhihaki..amaaa kwel kwa mnachokipitia sasa hiv mko hoi bin taaban 😂😂😂
 
Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.

Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.

Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara

Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.

Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.

Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.

We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.

North Korea

Kwa nini?
Sikia hiii

Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.

1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo

2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .

3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.

Twende sasa.

anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.

Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.

1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.

Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.

Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.

2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye

turudi China.

3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.

Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.

washirika wa kiduku wote watakua bussy.

Akili kubwa inaongoza akili ndogo.

Save my words.

Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
Hahaa
JamiiForums-431446709.jpg
 
Back
Top Bottom