HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,566
Kuna hali isiyo ya kawaida inaendelea duniani.
Ukifuatilia majarida na TV za nchi mbali mbali utakutana na yafuatayo.
North Korea yasema inajiandaa na kuivamia South kivita, haya ni maelekezo ya Rais Kim kwenda kwa wanajeshi, kuwa wajiandae kivita.
Hayo yakijili, South Korea wameanza Utayari kwa wananchi wote kwa kwenda palipo Mahandaki karibu. Ikumbukwe kuwa North Korea ana lengo la kumuondoa Marekani maeneo ya karibu naye
Nchi za Kiarabu zimewataarifu raia wake walio Lebanon waondoke mapema, maana kuna kila dalili za vita kati ya Israel na Hezbollah
Taiwan nayo imepewa misaada ya kivita hivi karibuni ili iweze mkabili China ambaye kaapa lazima Taiwan iwe nchi moja na China