Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,696
59,856
Wana JF leo nimeamua kuanza kuielezea North Korea. Kuna watu wengi sana wanaijua North Korea kwa mambo hasi(Negatives) kutokana na propaganda nyingi sana za watu wa magharibi. Nitaongelea yafuatayo:-
1. North Korea Infrastructure
2. Majengo marefu
3. Michezo na Utamaduni
4. Elimu
5. Kilimo, Uvuvi na Ufugaji
6. Usafiri na Usafirishaji
7. Ulinzi na Usalama
8. Madini na Misitu
9. Utalii
10. Maisha ya watu.
Jengo refu kuliko yote huko korea ya kazikazini linaitwa Ryugyong Hotel

Urefu: 330.02m
floors: 105
Ni la 12 kwa urefu duniani
Lilikamilika mwaka 2011
1690871647526.png

Hili jengo ni jengo la 12 kwa urefu duniani likifuatiwa na jengo la Empire State Building la USA lenye floor: 102.
1690871942476.png
 
Back
Top Bottom