passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 5,888
- 11,370
Ndiyo nyuma ya North Korea wapo wachina na warusiKwanza akifanya hivyo atakuwa anajitafutia maafa , maadui zake wote wataungana na hapo ndipo atakunywa chai bila sukari.

Kwanza akifanya hivyo atakuwa anajitafutia maafa , maadui zake wote wataungana na hapo ndipo atakunywa chai bila sukari.
Mnajiita majina adimu (Alexander) harafu kichwa kinauji mtupu
Hutambui ile base military iliyopo Kenya(Mombasa),nikwajili ya ulinzi wake America ndani ya afrika mashariki ikiwemo tz zile tarifa zinazotolewaga na balozi za marekani na uingereza kuhusu magaidi kuvamia maeneo mbalimbali Uganda ,Kenya ,Tanzania hua zimechakatwa wapi ...mkuu
Hajakosea alivosema base military iliyopo bongo ndo hiyohiyo
Usha SEMA akishirikiana na Baba yake USA Kiduku sio GadaffiUmesikia kwanza kuhusu Rais mpya wa South Korea? na yeye naye kichwa chake cha mwendazimu anahakikisha anakula sahani moja na North Korea jana katesti makombora 8 kwa mpigo kwenye bahari ya Atlantik huko akishirikiana na Marekani., Kiduku mavi kitambaani., North Korea ni nchi ndogo sana nuclear ameanza juzi fuatilia history ya mwanzilishi wa silaha za nuclear ndio utajua North Korea si chochote
Marekani hana military base hapa TanzaniaMarekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa wornings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.
Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.
Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara
Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.
Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.
Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.
We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.
North Korea
Kwa nini?
Sikia hiii
Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.
1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo
2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .
3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.
Twende sasa.
anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.
Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.
1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.
Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.
Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.
2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye
turudi China.
3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.
Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.
washirika wa kiduku wote watakua bussy.
Akili kubwa inaongoza akili ndogo.
Save my words.
Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
Hapo kwenye ghahawa walipokupa hiyo stori walikupa na fact gani KUU.Marekani hawezi kuishambulia North Korea Kwa sababu North Korea ana nuclear na anasilaha za kushambulia mpaka marekani.
Marekani hawezi kuishambulia North Korea Kwa sababu North Korea ana nuclear na anasilaha za kushambulia mpaka marekani.
Russia imepanga kama USA NA NATO watazidisha madharau basi itampatia kiduku mabomu 400 ya nuclear kwa awamu ya kwanza na 400 mengine kwa awamu ya pili 2Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa wornings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.
Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.
Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara
Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.
Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.
Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.
We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.
North Korea
Kwa nini?
Sikia hiii
Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.
1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo
2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .
3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.
Twende sasa.
anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.
Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.
1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.
Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.
Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.
2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye
turudi China.
3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.
Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.
washirika wa kiduku wote watakua bussy.
Akili kubwa inaongoza akili ndogo.
Save my words.
Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
North Korea Hana nuclear au ICBM? Aisee kajieleimishe vizuriHapo kwenye ghahawa walipokupa hiyo stori walikupa na fact gani KUU.
Mrusi atulie, US akimpa Ukraine nuke moto utamwakia Mrusi.Russia imepanga kama USA NA NATO watazidisha madharau basi itampatia kiduku mabomu 400 ya nuclear kwa awamu ya kwanza na 400 mengine kwa awamu ya pili 2
Hapo ndipo usa itakapo mpigia magoti mrusi
Tena Vichochoroni hukoMchambuzi wa mambo ya marekani kutokea newala
Kwamba zinakatiza bahari ya Pacific zinapiga Los Angeles Marekani ameziangalia tuu, daah Marekani huwa mnaichukulia poa sanaMarekani hawezi kuishambulia North Korea Kwa sababu North Korea ana nuclear na anasilaha za kushambulia mpaka marekani.
Hii ni ngonjera, USA hana military base Tanzania iko Kenya.Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.
Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.
Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara
Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.
Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.
Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.
We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.
North Korea
Kwa nini?
Sikia hiii
Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.
1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo
2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .
3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.
Twende sasa.
anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.
Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.
1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.
Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.
Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.
2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye
turudi China.
3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.
Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.
washirika wa kiduku wote watakua bussy.
Akili kubwa inaongoza akili ndogo.
Save my words.
Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
Ila anayo haijalishi kaipata liniUmesikia kwanza kuhusu Rais mpya wa South Korea? na yeye naye kichwa chake cha mwendazimu anahakikisha anakula sahani moja na North Korea jana katesti makombora 8 kwa mpigo kwenye bahari ya Atlantik huko akishirikiana na Marekani., Kiduku mavi kitambaani., North Korea ni nchi ndogo sana nuclear ameanza juzi fuatilia history ya mwanzilishi wa silaha za nuclear ndio utajua North Korea si chochote
Kenya sio TanzaniaMnajiita majina adimu (Alexander) harafu kichwa kinauji mtupu