Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.

Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.

Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara

Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.

Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.

Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.

We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.

North Korea

Kwa nini?
Sikia hiii

Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.

1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo

2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .

3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.

Twende sasa.

anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.

Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.

1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.

Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.

Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.

2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye

turudi China.

3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.

Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.

washirika wa kiduku wote watakua bussy.

Akili kubwa inaongoza akili ndogo.

Save my words.

Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
NOrth korea inatakiwa kupigwa na kusambaratishwa ili iungane na dunia. huwezi kuishi kwenye nchi mtu hata kuabudu dini unayoitaka ni kosa la kunyongwa. Mungu mwenyewe atakuja aingilie kati atume nchi fulani iitandike sawasawa North korea ili wale watu watoke kwenye utumwa, na sisi twende tukajenge makanisa kule.
 
Amina baba paroko
 
Upuuzi huu nyie ndo wale mkimbiwa muolewee na wanaume wenzenu mnakubali ili eti Kwa kitu unachokiita kuungana na Dunia sijui dunia gania.wale wamejichagua maisha Yao msiwapangie kama nyie mlivyochagua kuendeleza ushoga kwenye dunia yenu.waacheni watu wajichagulie hatma Yao.
 
We jamaa kwako dini unao Jambo la maana sana
 
Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu.

Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha nchi yenu imesambaratika mara magaidi mara waaasi mara vita vya wenyewe kwa wenyewe yani ilimradi mteseke.

Mmarekani hana muda wa kuweka mikwara

Mara sijui maonyesho ya jeshi. Mara majaribio ya silaha.

Yeye akikupa faida sana sana atakutajia bajeti yake ya ulinzi tu kwa mwaka.

Si unajua tena tajiri hana maneno mengi. Maneno mengi tunayo sisi waomba Mungu.

We huoni USA sasa hivi ameitia Dunia Kiberiti kila mahali panafuka Moshi. kimsingi vurugu zote anaetafutwa hapo ni mmoja tu.

North Korea

Kwa nini?
Sikia hiii

Marekani Anaogopa vitu vitatu kuhusu vita.

1. Kuungana kwa mataifa zaidi ya moja kupambana dhidi yake. ndio maana ana Millitary base kila mahali hadi bongo

2. Kupigana vita katika Ardhi yake. hii hakuna asie jua ndio maana bajeti ya CIA na FBI ni kubwa kUliko bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya China na Supapawa Rusia ukizichanganya pamoja. na nchi nyingi ameweka nazo mikataba ya ulinzi ikiwemo Nato maanake hapa ni kuwa hakuna nchi itaweza kufanya lolote kwenye ardhi ya USA. .

3. Kumuondoa kwenye real superpawa na ushawishi Duniani.

Twende sasa.

anaelegwa hapa ni North korea si vinginevyo.

Akaifanya kwanza dunia iwe Busy.

1. Kwanza Aliiitambua jerusalem kama mjimkuu pili akijiondoa kwenye mkataba wa nyuklia na irani.

Kumbuka israel imeapa kuishambulia kijeshi irani kama mkataba wa nyuklia na mataifa tajiri utafeli.

Hii inamfanya washirika wa iran watakua bize na israeli hapo baadae wakati anafanya yake pale North korea.
wakati huo huo na ili israel iwe salama wameingia kwenye mkataba wa ajabu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na Mataifa ya kiarabu, wakati huo huo iran na iraq na saudiarabia ni maadui wa kimkakati.

2. Turudi kwa supapawa Rusia. chini ya kamanda Andunje the great. yeye nae wana mshughulisha pale Ukraine kwanza hawapeleki silaha kali za maangamizi pale ukraine ili vita viende mda mrefu wala Nato haijajiingiza, ili russia supa pawa awe busy nayeye

turudi China.

3. Kwanza alitaka kumdhoofisha na china kwa vikwazo wakatafuta sababu wakakosa. wakategemea atamsaidia rusia kijeshi Hola sasa amepeleka chokochoko za Taiwan. Sema nae mchina anajielewa kakaza kidogo.
wanategemea ile sheria ya last principle of provocation ifanye kazi.

Mchina hapa ndie anae mchelewesha Usa. Sasa wakati USA anafanya yake na ile midege yake pale North Korea.

washirika wa kiduku wote watakua bussy.

Akili kubwa inaongoza akili ndogo.

Save my words.

Sema tulimtegemea supapawa Rusia angemaliza mchezo mapema kumkomoa USA. Sema wengi Rusia Ametuvunja mioyo yetu.
We jamaa umekunywa wanzuki nini 😄
 
Mnajiita majina adimu (Alexander) harafu kichwa kinauji mtupu

Hutambui ile base military iliyopo Kenya(Mombasa),nikwajili ya ulinzi wake America ndani ya afrika mashariki ikiwemo tz zile tarifa zinazotolewaga na balozi za marekani na uingereza kuhusu magaidi kuvamia maeneo mbalimbali Uganda ,Kenya ,Tanzania hua zimechakatwa wapi ...mkuu

Hajakosea alivosema base military iliyopo bongo ndo hiyohiyo
Kenya sio Tanzania
 
Upuuzi huu nyie ndo wale mkimbiwa muolewee na wanaume wenzenu mnakubali ili eti Kwa kitu unachokiita kuungana na Dunia sijui dunia gania.wale wamejichagua maisha Yao msiwapangie kama nyie mlivyochagua kuendeleza ushoga kwenye dunia yenu.waacheni watu wajichagulie hatma Yao.
Mungu akusaidie na akusamehe, kwasababu umejaa udhalimu na unamhitaji Mungu. homosexuality ni dhambi, haitakiwi kuwa na mjadala. hoja yangu ni kwamba, North korea inamhitaji Mungu, hawamwamini Mungu iwe ya Kikristo au ya kiislam, wao hawaamini. na kwasababu imani yangu mimi inaamini kwamba bila KRisto Yesu hatuwezi kumwona Mungu,ni kitu muhimu kwangu kupewa access kuingia North korea ili tukahubiri injili ya Yesu Kristo.
 
Kijana North korea wana Mungu wao na wanampenda sana, usiwalazimishe lazima wampokee Yesu au Allah , nchi ile imani ni sehemu ya utamaduni
 
Umewasiliana na MK254 kabla ya kupandisha huu uzi

Uzi mtamu sana huu, naona comments za Warusi wa Bongo wote wanaonyesha kukata tamaa kwa Urusi wamehamia kwa Korea Kaskazini ndiye sasa tegemezi lao, ila niwashauri tu, wangehamia kwa Mchina maana kwa kweli China imecheza parefu, hawajanasa kwenye mtego wowote, sema Marekani huwa hana nia ya kuisambaratisha China maana anaitegemea sana kiviwanda, kule kawekeza viwanda vyake Wachina wanafanyishwa kazi kama punda.
 
Kijana North korea wana Mungu wao na wanampenda sana, usiwalazimishe lazima wampokee Yesu au Allah , nchi ile imani ni sehemu ya utamaduni
miungu ipo mingi, ila Mungu wa kweli ni mmoja tu, MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO, yaani Mungu wa Israel. wengine wote ni uchafu tu. tunataka waabudu Mungu wa kweli.
 
Back
Top Bottom