Kina dada mnachochea ushoga

Kina dada mnachochea ushoga

Sasa hao kinadada wanakosa gani..?

Kwanini dume zima likubali kucheza hiyo sijui lapu dansi...??? Kwanini dume zima likubali kuchezewa lapu dansi na dume mwenzake...?

Sema ulikuwa umeenda kwenye baa ya mashogaa...

Hamna mkuu ilikuwa ya kawaida tu mbona..vidada vilikuwa vingi vimevaa na kupendeza tu!!
Na sikudhani kwamba kuna club za aina hiyo huku bongo!!!
 
MMM mungu atunusuru na vijana wetu yani mie hata kumuona mtu kama huyu naona vibaya,wengine eti wanawaweka kinyumba na nimtu na familia yake,ivi hawazi mwenyezi mungu anaweza mfanya mwanawe au ndugu yake atajisikia vipi?
 
Mshughulikiane wenyewe huko msingizie madada?

Punguani wahed.
 
Mimi nashangaa sana watu wanavyojifanya wanapagawa wakisikia mwanaume anapelekewa moto haya mambo yalikuwepo tokea enzi za Luthu,tusikimbilie kusema dunia imeisha wewe simama kwenye imani yako tuuu uone kama Mungu hatakuepusha na hiyo mibalaa

NB:Mungu aliumba ubaya na uzuri wewe chagua moja kwasababu utakapopachagua ndipo Mungu anapokusumuia ukipenda kufanya mema atakusukumia huko huko na ukipenda mabaya atakusukumia huko huko mpaka utakapoghairi!
 
Tembea uone mengi, wenzenu huku Zenji ni vitu vya kawaida
 
Hahaha kiswahili naiyolo doi.
Ashenale.

Sasa katoka na ukisoda wake anaambiwa katika anakatika kama feni? Hahaha ngoja wamuambie akalie kisu

Shieeeeee!!!!! . . . . . . . . . .(spitting)
Meatra enganyatii, akalie nini???!!!!
 
una hela ngapi? manake hadi paw anakubaliwa ujue yuko vizuri
Na mimi ni mmojawapo wa wanaohitaji kusitiri wadada kama hao, fanya mpango kwa hao wanaobaki baada ya beib wako kuchepuka basi ili wote tuwini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom