msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Leo nilikuwa kwenye club fulani maarufu hapa mjini na kulikuwa na Bendi inaperform. Ikafika mahali wadada club nzima wakaanza kumchochea mkaka A fulani amfanyie mkaka B mwenzake lap dance.
Kaka A akakubali na kina dada wakawa wanamshangilia kwa vigelegele na kumpiga picha na hata kumpa hela utafikiri kashinda tuzo ya Nobeli.
Kuna watu wachache walichukizwa sana na hata kutoka nje ya club! Kilichonishangaza ni jinsi wengi waliobaki walivyolishangilia tendo lile.