Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Ukipita viunga vya UDSM alfajiri-asubuhi na jioni/usiku. Utashuhudia kinadada wakiwa wanafanya jogging pembezon mwa barabara aisee ni full-mitego. Mtu anajibana mpaka ramani ya Makao Makuu yanaonekana. Wengine mpaka chachandu zinaruka-ruka. Mpaka mtu unajiuliza haya ni mazoezi tu ama Sokoni? Na wale Askari getin nadhani nao wanafurahia kuona hizo Mambo.
Mbona picha za kugoogle hizo hazina uhalisia na stori yako?
Hata hivyo tembea macho chini na kuwapotezea hawatakusumbua unless uwakodolee wewe mweñyewe.
 
Tatizo mtoa maada akili zako zimetawaliwa na ngono tu...Tembea duniani ndio uone watu wanaishije... mfano mdogo ni Stockholm Sweden au Roma, Milan Italy Berlin au tumeseme nchi za ulaya ikifika jioni utaona mamia ya watu wanakimbia pembeni ya barabara kufanya zoezi na ni kitu cha kawaida sana sasa wewe ulietawaliwa na pepo la ngono ndio inawazaga hayo...acha watu wafanye zoezi
 
Wewe usilinganishe miili ya dada zetu wa kiafrika na hao wazungu wenu...Sisi hawa dada zetu wamejaliwa kwelikweli....wanavutia sana Mungu aliwapendelea.....

Pili mwanaume kuvutiwa macho sio dhambi ndo uanaume huo na ubinadamu wenyewe..Wakati tuko shule tulifundishwaga ukikutana na mwanamke mrembo kaumbika na nafsi yako ikamtamani....Tamka maneno mawili tu..Mungu ameumba...then usigeuke nyuma endelea na mishe zako.....

Mwanaume wa kweli kupata hisia ni kiwaida na hisia sio dhambi....dhambi ni pale tamaa ikakushinda ukaenda kutenda au kuanza kushawishi kutenda
 
Hakuna mazingira mwanaume anaweza vaa nguo Itakayoleta Usumbufu Kwa Mtu mwngine , epecially linapofika vazi la Mazoezi.
Kwa sababu wewe hazikusumbui haina maana hakuna zinayemsumbua.
Hata vivazi vya wadada kuna ambao havitusumbui kabisa.
 
Tangu covid ianze bar zimekauka, madanga yamepotea, ufuska umehamia kwenye mazoezi, na hii nnaiona pia arusha along the new bypass, kuanzia ngaramtoni mpaka usa.. ni full mitego, wadada wengi wanafanya mazoezi kibiashara zaidi
Nenda makao mapya leo anza saa moja usiku ule anzia pale basi za marangu zinapaki alafu wenyewe watakueleza wanapoishia
 
Ujenzi wa miji yetu, ni upuuzi tutalaumiana bure, hakuna mpangilio wa miji,viwanja vya michezo hakuna sehemu pekee ya wazi ni barabarani .

Katika miji yetu hata vyoo vya umma / kulipia ni shida , wakazi wote wa miji hii muda wa mchana ni wagumu subiri usiku , mkiamka asubuhi ni michirizi kila kona huku mvua ikiwa hakuna wala wingu.
 
Jifunze kuwaona kinyaa na kuwadharau itakusaidia,
Wachukulie kama makahaba au malaya waliopo mawindoni.

Mwanaume kila mwanamke ambaye siyo mke wako mwenye kuvaa mavazi ya mitego ukimchukulia hivyo kuwa ni cha wote , malaya ukamuona kinyaa itakusaidia sana na kubaki salama.

Lakini ukianza kuweweseka na kuona mbona wana shepu na nini ujue utajiweka kwenye hatari kubwa.

Mwanamke hata akiwa na shepu kiasi gani akishakuwa cha wote anakuwa hana maana tena,
Kwenye jamii utadharaulika kwa kutoka na malaya cha wote.
 
Ni kama Chibu vs Vimeo vyake
 
Nimeelewa mno point yako Mkuu. Laiti wore tungekua na mawazo Kama yako dunia ingekua mahala salama Pa kuishi.
 
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?

Au labda kukimbia barabarani kunaongeza ufanisi wa mazoezi? Sasa tazama nguo wanazovaa vs maumbilie yao, tazama maeneo ya barabara wanapofanyia hayo mazoezi, tazama na muda pia. Kisha jumlisha, unipe jibu.

Mimi hesabu zangu zimeniletea majibu mazuri, "Mazoezi barabarani ni njia ya kina dada kujipatia wanaume. (huwenda sio wote)
Uko na vidio tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom