Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

nina miaka 29,na swala la ndoa naliona sio bahati yangu i mean sijioni nikiolewa in next five years,siingii ng'o mpaka niwe nimekamilisha mipango ya shule which will take me five years............:tape2:

Ile ahadi yetu vp mama?
 
By Mwanawalwa<br />
afu part time wapo wa kutosha tu , sio ishu sana ndoa zenyewe za crush programme
Ndiooooooooooo, nafikiri tuliosema ndio tumeshinda na tupo wengi tu, kama huamini nitaku-pm uone. Ahsanteeeeeeeeeeeeeee. Halafu wewe Lindu Linduuuu kaa chini nimekusikia.[/QUOTE


aah sana...deiwaka zote hizo ya nn ukajipe presha...wengi wanaokimbilia kuolewa hawana dira ya maisha sasa anaona bora aolewe maisha yaende..
Mbaya zaidi aliyeuza cheni kauza ya bandia na aliyenunua cheni katoa hela bandia..hiyo ndo Daslaam bana.
 
wanaume ndio hawaishi ila umri unavyozidi kusogea ndivyo idadi ya wanaume kukutongoza inapungua na matumaini ya kuolewa huondoka but elimu hata ukiwa kibibi ukiitaji unaipata tu bila waswasi.

ukiwa na hela unawapata siku hizi vivulana ndo vinaongoza kutembea na vibibi.....mana badala ya kuoa wavulana wanaolewa tu!!
🙄
 
wadau nimekuwa nikisikia ya
kwamba msichana akiwa ameshafika miaka 25 au na zaidi lakini akiwa bado
hajaolewa mara nyingi huwa anakuwa ni mtu mwenye wa kuwaza sana juu ya
swala la yeye kuolewa. je hili jambo lina ukweli?

siyo wote, binafsi nawaza kupata kazi niweze kumudu maisha yangu bila kumtegemea mtu vilevile nijiendeleze kimasomo zaidi ukizingatia hata hizo ndoa ninazoziona sioni hata moja inayonifanya nitamani kuolewa watu wanalalamika na kuregret
 
Uliyo sikia sio kweli.
Ulisililia wapi vile?
Kijijini kwa bibi au?

KWELI Binti Mwari, Zaidi huwa mila na tamaduni, sie kwetu hata hujafika umri huo umesha lengwa na unatayarishwa
kufunguwa nyumba ya mustakabali na wapo wanao goma kudai waendelee kusoma. hakika elimu is must lakini zote mbili hakuna garanttee.....wa dhamana. kuolewa ni culture ya wote ! mwisho wa siku maisha yana utamu wake Don't miss it....
 
haa wapi mie nawaza salalio tu cjui nina homon za kiume????totally 90%ya maisha yangu ni vp nitoke kimaisha bila kuwa tegemezi

Ahaaa watoto wa digitally a.k.a. bongo fleva huwa hawafichi hisia zao, ni rahisi sana kuwagundua. Wanapenda sana kujishebedua na kulambishwa midushelele bila kujali na kupanga mikakati ya maisha yao ya baadaye.
 
25 bado presha haijapanda..ila kuanzia 29 -34 hapo ndo balaa..akivuka hapo kama hajaolewa anaanza kukubali matokeo.
 
Mhhh!Ni asilimia ngapi ya akina dada wakiwa na miaka 25 wanakuwa shule wakichukua Masters?Hayo unayo tuambia dada ni maisha ya kufikirika!Huku kwetu kijijini mdada miaka 25 kama hujaolewa basi huolewi tena maana watakuita "kikongwe"!Dada yangu alipo fikisha umri huo bila ndoa akakata tamaa!Sasa ana watoto 7 na miaka yake 31
 
hakuna tofauti yeyote kati ya aliyeolewa na asiyeolewa, kwani hao waliye ktk ndoa wengi utulivu zero, mwanamke ana mume lkn nje ana wanaume zaidi ya watatu, na mume naye vichenchede kibao. na aliye single anaishi maisha mzr, anapambana na life, anasaka mshiko, anaishi bila ya stress. so hakuna nuksi kuto kuolewa. unaweza kuolewa ikawa ndo nuksi.
 
hakuna tofauti yeyote kati ya aliyeolewa na asiyeolewa, kwani hao waliye ktk ndoa wengi utulivu zero, mwanamke ana mume lkn nje ana wanaume zaidi ya watatu, na mume naye vichenchede kibao. na aliye single anaishi maisha mzr, anapambana na life, anasaka mshiko, anaishi bila ya stress. so hakuna nuksi kuto kuolewa. unaweza kuolewa ikawa ndo nuksi.

nimependa ulivyomalizia
 
vivulana ndo vimekuma vigego kwelikweli! ukikiambia mbona umri wako na wangu hauendani! utakisikia hata mtume alioa mwanamke aliyemzidi umri, kwa hy miaka ni suna tu! cku mbili tatu, beby samahani nirushie laki moja ntakurudishia. yani matatizo matupu
 
nani kagundanganya kuwa ukiwa chuo huwezi kuolewa? Watu wanazaa na chuo unaendelea kama kawa baada ya kumaliza kinachofuata ni kula bata tu na familia yako uku mkiwa bado vinaja sio unakuja kuzaa na miaka 35 au 40 mwanao badala akuite mama atakuita bibi sasa lol!

Wacha weeEe!
 
Bro Tetra njoo usome huku...!

Hawataki kuolewa hadi wamalize masters...

Mwingine anahisi ana hormone za kiume yy kutwa kuwaza hela...

Vipi wewe utaoa lini bro??!
 
Last edited by a moderator:
Tetra binafsi nina mpango wa kufikiria ndoa account zangu zikiwa na pesa kiasi.....................nisije kutafutwa na serengetiboys hapa,hivyo basiiiiiiiiii bado nipo nipo saaaaaana umri ni namba tu waoaji wakiisha hakuna neno,YESU ni ndoa tosha.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni intrest ya mtu...ndo mana wengine wanatamani kutoka coz washaona ndoa zilivyo
On the other side ni heshima ila kwa maisha ya sasa sio mpango
 
hakuna tofauti yeyote kati ya aliyeolewa na asiyeolewa, kwani hao waliye ktk ndoa wengi utulivu zero, mwanamke ana mume lkn nje ana wanaume zaidi ya watatu, na mume naye vichenchede kibao. na aliye single anaishi maisha mzr, anapambana na life, anasaka mshiko, anaishi bila ya stress. so hakuna nuksi kuto kuolewa. unaweza kuolewa ikawa ndo nuksi.

ukiolewa na ikawa nuksi says alot abt u...u didnt do ur homework!!!! ndoa ni kama unataka kuanzisha biashara....ili biashara idumu na kustawi basi analysis yake kabla ya kuinngia lazima iwe nzuri na pia umjianda....tatizo ni kwamba kuna wanawake wanaotaka kuwa wives na wale ambao ndoa by the way. the latter ndio wanaoishia kupata ndoa za nuksi
 
Hiyo ni intrest ya mtu...ndo mana wengine wanatamani kutoka coz washaona ndoa zilivyo
On the other side ni heshima ila kwa maisha ya sasa sio mpango

mnajidanganya tuu...ndoa ni sehemu muhimu nd withe the ryt preparation a marriage cn be succesful. sio mpango kwa sababu watu dnt value it na bado wanaingia kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom