Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

Unakuta mbaba mnene,,kitambi hichoo yaan mnene jamanii halaf anatongoza vibinti vidogo, we baba unavipeleka wapi hivyo vibinti,,,mfano hata mimi sipendi wababa /wakaka wanene ,,mtu tumbo hiloo,paja nene,halaf anakung'ang'ania eti anakupenda jamani jamani sipendi kuwa na mahusiano na wanaume wanene,wenye vitambii kwanza hawavutiii kabisaa,,mwanaume aliejaa kawaida ndio anapendeza yaan amejaa kimazoezi au kajaa tu,,,sasa mbaba huyu na tumbo lake sijui hata kitandani mnalalaje,napatia picha utakavyolaliwa na hilo tumbo hapo utachoka nyang'anyang'nya,,,
Pia wapo nadhani wadada wanaopenda haoa wakaka au wababa wanene,maana nahisi ladha tunatofautiana,sie wengine tunapenda wakaka wa kawaida tu wenye miili ya mazoezi,kuna huyo mbaba huwa tunakutana sehemu ya kula jamani atatuma watu waniitee,,unajua saa ingine unene unaweza fanya uitwe mbaba,,akaniandikia kikaratasi kuwa ananipenda na anataka kuwa namii yaan niliudhikaa ,,,nikaanza kuwaza hivi huyuu mi nampeleka wapi sasa,,kwanza nahisi watu wanene kama hawa kitandani ni magoigoi tu na dudu yote imemezwa na tumbo,halaf kama hawakoromi hawaa ni bahatii aisee,,,sie tushazoea watu hawana vitambi akikukamata ukitoka hapo hamu zote kwishaa
Mtanisamehe kama na humu wanene mpo inabidi mpungue jamanii unene ni janga mtakosa watoto wazurii wazurii
Kama una povu tema nna nguo chafu mie ntafulia
Ndio nishasema!!!!
Mbona mi kaka'ko nna kitambi? [emoji23]
 
Wanawake sometimes hawaeleweki.!!

Utakuta kaolewa na kimbaombao.
Mara jamaa akirudi home, atapetiwa weeee kilakitu hafanyi. Hadi kuogeshwa.
Atapakuliwa msosi mkubwa kuliko aliouzoea, ili aule. Eti kwakua ni mwanaume. Anatakiwa kula sana.
Akikataa na kusema ameshiba.
mwanamke atalalamika kua mume hampendi ama amekula kwa wanawake wengine na ndio maana hataki kula chakula chake alichomuandalia. Jamaa kulinda mahaba anakula.

Baada ya mwezi jamaa anafutuka futu.
Na alichagua kimbaumbau.
Kwa hiyo tatizo ni sisi ??
 
Ndio hivyo acha na sie tuwaseme tu maana nyie kila siku wanawake mpo hivii oooh vileee,,,mpo magogoo wakati mtu unamlalia una kilo 180 atakataje mauno,,,hebu mwachie nafasi kama uno halijazungushwa kama feni,hatubaguii laki unene sio mzuriii halaf jua wanaume ni kama sufuria la moto lazima liwah kupoa lakin wanawake ni kama chungu kilichotoka jikoni kupoa usubiri sana ,,sasa ukute mwanaume tumbo hilo hizo pumzi anazitoa wapiii,,
Sie tumekusikia vitambi tutavitoaa,na mauno tutaongeza ila na nyie unene na mavitambi hatuyatakiiiii
Tatizo nyama choma, kitimoto na bia barriìiiiddiiiiii!!!!
 
Vimbao mbao mi hapana kabisa napenda wastanii haswa akiwa na mwili wa mazoezi
Pesa zitakuridhisha ukeni???kuhonga ni kipaji t haiangalii unene
.... Dah hamsomeki kabisa nyie, mkikunjwa na kukunwa kisawasawa but bila mshiko taabu, mkimwagiwa mpunga mrefu nako taabu...
 
Kabxa?
Kwa jinsi unavyoandika. . .looks like you are too young for me and I don't do Mario things

'Utanipwelepweta' dogo MPAMA
Vurugu zangu utahadithia mpaka paka wako ukirudi!!!!

Utakua unachungulia unahisi imebakimo

Coz mnyetuo nyetuo utaendelea for ½an hour after mgegedo
 
Jaa jaa wewe hiyo mifupa nani anataka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha kwan mifupa inazama??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] shughul iliyopo hapo ukitoka... zinaenda likizo mwez mzima hazij, ... zinini hizo, sijui
 
Back
Top Bottom